Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Atakuwa kakuelewa!Tonykp mimi mfalme njozi najua umelenga wapi ila kaa sawa huu mji hata makamanda wanabanjuliwa unamkumbuka balow na mwalimu?walimu noma! Erickb52 naomba umwambie acheze kwa step asimkanyage mwenziye ila kama unataka kufundwa kuhusu mashori wa jf basi sema tukuunganishe na Madame B huyo atakupakulia singo matata kuhusu JF sholis kila la heri nahuyo unaye mmiss