Miss u we mdada na unajijua sina haja ya kusema jina

Miss u we mdada na unajijua sina haja ya kusema jina

Yap, Yap, Yap.....
Muulize kwanza amemtolea Mchango wa White Party, au Ndo anang'aa sharubu jamvini humu. KakaKiiza, muulize.
Nashanga!Michango watoe wengine wewe kifrontfront wewe obama?au prince william?basi kamletee lineni nyeupeeeepee!tukuone mwanaume washarubu Tonykp
 
Last edited by a moderator:
Tonykp mimi mfalme njozi najua umelenga wapi ila kaa sawa huu mji hata makamanda wanabanjuliwa unamkumbuka balow na mwalimu?walimu noma! Erickb52 naomba umwambie acheze kwa step asimkanyage mwenziye ila kama unataka kufundwa kuhusu mashori wa jf basi sema tukuunganishe na Madame B huyo atakupakulia singo matata kuhusu JF sholis kila la heri nahuyo unaye mmiss
sabal kheri KakaKiiza, nimefurahi kuusoma muandiko wako hapa tena!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom