Miss u we mdada na unajijua sina haja ya kusema jina

Miss u we mdada na unajijua sina haja ya kusema jina

Hii imekaa kama zile za utoto tulikua tunaimba...
"Namtafuta rafiki, rafiki, rafiki....
Rafiki yako nani, nani, nani....
Rafiki yangu ......, ....., ......"
 
Angalia kijana....!
Tonykp mimi mfalme njozi najua umelenga wapi ila kaa sawa huu mji hata makamanda wanabanjuliwa unamkumbuka balow na mwalimu?walimu noma! Erickb52 naomba umwambie acheze kwa step asimkanyage mwenziye ila kama unataka kufundwa kuhusu mashori wa jf basi sema tukuunganishe na Madame B huyo atakupakulia singo matata kuhusu JF sholis kila la heri nahuyo unaye mmiss
 
Last edited by a moderator:

Mbona wamtisha hivo jamani..sholis wa jf wakoje??
 
Last edited by a moderator:
Za asubuhi wenyeji,naona mshamuka.zile starehe za nyani ,za kukalia muti na kuota jua ndo hizi siku hizi. Digital age,digital love...hivi karibuni tutaenda digital sex. Tayari kunayo fone sex. Nawatakia siku njema na starehe za ki nyani za kisasa.
 
Back
Top Bottom