Miss World na uhalisia, Kamati ya miss Tanzania wanacho cha kujifunza?

miss ajaye ajipange sana. asee zile ishu kule ni za kisomi na sio waliofeli shuleni. vitu wanapresent pale ni vitu pia vinzungumziwa kila siku kwenye mikutano ya kimataifa ya maendeleo ya dunia.
Anyway, kwa upande wangu karibu kila mwaka nayafuatilia na kama ulivyosema kwenye mada kuu... ulimbwende wa mtu una nafasi ndogo sana katika kumpa mtu ushindi ikiwa vigezo vingine, hususani talent na kile kipengele muhimu kabisa cha beauty with purpose muhusika hajakidhi! Kuna shindano fulani, sikumbuki mwaka bali kiasi cha kama miaka mitatu hadi mitano hivi iliyopita... miss ambae alishinda alikuwa wa kawaida sana lakini ukiangalia mambo ambayo alifanya kukidhi kigezo cha beauty with purpose, yalikuwa ni mambo makubwa ambayo kwa msichana wa aina yake on one would expect. And more often than not, ukishaua kwenye beauty with purpose, basi uwezekano wa kutwaa taji ni mkubwa unless yakukute kama ya Nargis Mohammed!
 
Photo shop zisikudanganye idda wa kawaida Sana. Alafu hilo profile ulocopy na kupaste halisomeki
wacha wivu!!!!!!! numbers dont lie!
final list!!!!!kenya no. 8
NEWS/

Miss World 2014 Winner Is Miss South Africa, Rolene Strauss-See Photos and Find Out Who Else Make the Top 10!

by CORINNE HELLERToday 9:29 AM PST

rs_634x1024-141214094830-634.Miss-World-COmpetition.jl.121414.jpg
LEON NEAL/AFP/Getty Images
And the winner of the 2014 Miss World pageant is....Miss South Africa, Rolene Strauss!
The 22-year-old beauty queen was crowned onstage at the competition's grand final at the Excel London ICC Auditorium on Sunday. Strauss, the daughter of a doctor and nurse, is a fourth-year medical student.
Donning a high, blue and golden jeweled crown and pale pink, off-the-shoulder, romantic-style, cleavage-baring, ruffled evening gown, Strauss waved and smiled at the crowd.

rs_634x1024-141214092757-634.Miss-South-Africa-Miss-World.jl.121414.jpg
LEON NEAL/AFP/Getty ImagesThere she is! #MissWorld2014 @MWSouthAfrica! pic.twitter.com/TeVjdtzeVV
? Miss South Africa (@Official_MissSA) December 14, 2014
PHOTOS: Most bizarre beauty pageants
Strauss was among 122 contestants who competed for the coveted title this year. During the ceremony, contestants wore colorful costumes representing their countries and territories and several also took part in a group performance of the hit ballad "You Raise Me Up," made famous by Josh Groban.
After she was crowned, the remaining contestants on stage danced to LMFAO's "Party Rock Anthem." Group member Sky Blu, who wore a fairytale prince-like outfit, performed solo.
"Miss World 2014. Put your hands up, ya'll!" he shouted. "Put those hands up! Oh yeah! We love girls all around the world. All around the world, we love girls. I love ya'll."
PHOTOS: Miss World contestants over the years-includes Halle Berry!
The two runners-up were:
2. Hungary: Edina Kulcsár, a former finalist of the 2009 Miss Plastic Hungary beauty pageant. The contest featured contestants who had plastic surgery and aimed to promote the benefits of cosmetic procedures.
3. United States: Elizabeth Safrit, who represented North Carolina at the 2014 Miss United States pageant, has a BA in political science from the University of Southern California and has been dancing since she was little.
The other contestants who made it to the top 10 were:
4. Australia: Courtney Thorpe, a marketing student
5. England: Carina Tyrrell, a med student at the prestigious University of Cambridge.
6. Guyana: Rafieya Husain, a business administration student
7. Brazil: Julia Gama, a chemical engineering student
8. Kenya: Idah Nguma, a marketing executive
9. Mexico: Daniela Álvarez Reyes, Miss Mundo Mexico
10. India: Koyal Rana, NGO and director of the Moksha Foundation
People's Choice winner: Thailand: Nonthawan Nonthawan Thongleng, a singer, TV host and model
141214_finalraw_04.jpg
 
Anyway, kwa upande wangu karibu kila mwaka nayafuatilia na kama ulivyosema kwenye mada kuu... ulimbwende wa mtu una nafasi ndogo sana katika kumpa mtu ushindi ikiwa vigezo vingine, hususani talent na kile kipengele muhimu kabisa cha beauty with purpose muhusika hajakidhi! Kuna shindano fulani, sikumbuki mwaka bali kiasi cha kama miaka mitatu hadi mitano hivi iliyopita... miss ambae alishinda alikuwa wa kawaida sana lakini ukiangalia mambo ambayo alifanya kukidhi kigezo cha beauty with purpose, yalikuwa ni mambo makubwa ambayo kwa msichana wa aina yake on one would expect. And more often than not, ukishaua kwenye beauty with purpose, basi uwezekano wa kutwaa taji ni mkubwa unless yakukute kama ya Nargis Mohammed!

Hahaha nagris alifanyaje?
 
Huyo miss world mbona ana maziwa makubwa hivyo?au ananyonyesha?
 
wacha wivu!!!!!!! numbers dont lie!
final list!!!!!kenya no. 8
NEWS/

Miss World 2014 Winner Is Miss South Africa, Rolene Strauss—See Photos and Find Out Who Else Make the Top 10!

by CORINNE HELLERToday 9:29 AM PST

rs_634x1024-141214094830-634.Miss-World-COmpetition.jl.121414.jpg
LEON NEAL/AFP/Getty Images
And the winner of the 2014 Miss World pageant is....Miss South Africa, Rolene Strauss!
The 22-year-old beauty queen was crowned onstage at the competition's grand final at the Excel London ICC Auditorium on Sunday. Strauss, the daughter of a doctor and nurse, is a fourth-year medical student.
Donning a high, blue and golden jeweled crown and pale pink, off-the-shoulder, romantic-style, cleavage-baring, ruffled evening gown, Strauss waved and smiled at the crowd.

rs_634x1024-141214092757-634.Miss-South-Africa-Miss-World.jl.121414.jpg
LEON NEAL/AFP/Getty ImagesThere she is! #MissWorld2014 @MWSouthAfrica! pic.twitter.com/TeVjdtzeVV
? Miss South Africa (@Official_MissSA) December 14, 2014
PHOTOS: Most bizarre beauty pageants
Strauss was among 122 contestants who competed for the coveted title this year. During the ceremony, contestants wore colorful costumes representing their countries and territories and several also took part in a group performance of the hit ballad "You Raise Me Up," made famous by Josh Groban.
After she was crowned, the remaining contestants on stage danced to LMFAO's "Party Rock Anthem." Group member Sky Blu, who wore a fairytale prince-like outfit, performed solo.
"Miss World 2014. Put your hands up, ya'll!" he shouted. "Put those hands up! Oh yeah! We love girls all around the world. All around the world, we love girls. I love ya'll."
PHOTOS: Miss World contestants over the years—includes Halle Berry!
The two runners-up were:
2. Hungary: Edina Kulcsár, a former finalist of the 2009 Miss Plastic Hungary beauty pageant. The contest featured contestants who had plastic surgery and aimed to promote the benefits of cosmetic procedures.
3. United States: Elizabeth Safrit, who represented North Carolina at the 2014 Miss United States pageant, has a BA in political science from the University of Southern California and has been dancing since she was little.
The other contestants who made it to the top 10 were:
4. Australia: Courtney Thorpe, a marketing student
5. England: Carina Tyrrell, a med student at the prestigious University of Cambridge.
6. Guyana: Rafieya Husain, a business administration student
7. Brazil: Julia Gama, a chemical engineering student
8. Kenya: Idah Nguma, a marketing executive
9. Mexico: Daniela Álvarez Reyes, Miss Mundo Mexico
10. India: Koyal Rana, NGO and director of the Moksha Foundation
People's Choice winner: Thailand: Nonthawan Nonthawan Thongleng, a singer, TV host and model
141214_finalraw_04.jpg

Sasa wivu gani mkuu? Point yangu ilikuwa na maana kule sura wanaangalia kidogo sana matendo ndo zaidi.
 
Dah... Nargis alini-disappoint sana coz' I liked the girl! Ilipofika wakati wa maswali, alipiga "mis" kama mara tatu hivi... nikazima TV nikaenda kulala!

Alipiga mis ndo nini hehehe
 
Alipiga mis ndo nini hehehe
Assume umeulizwa What do you understand by the term Biology!! Unaanza kwa mbwembwe na kidhungu chako cha kujifunzia darasani: "Biology is a branch of science which deals with....!" umeshindwa kuendelea; kwahiyo 'mis" ya kwanza hiyo! Unavuta nguvu, unaanza tena: "Biology is a branch of science which deals with the study of....!", umesahau ni study ya nini, kwahiyo 'mis' ya pili hiyo ambayo tayari itakuwa imeshakuondolea konfidensi yote; na unapojaribu mara ya tatu: "Biology is a branch of science which deals with the study of animals and....!"

Kwani we hujawahi kuisikia gari inavyopiga mis?
 
Tuheshimiane. Nshajua kumbe wewe division 5. Bye n goodnyt

Bora umeachana nalo,ni likenya hilo....sijui huwa yanafanyaga nini huku???....tungewashinda wangenyamaza.....ila wameshinda wanataka tusinywe maji.
 
Kubishana na huyo jamaa ni kupoteza muda coz' kila siku anapenda kuleta ushindani kati ya TZ na Kenya... anachosahau ni kwamba, ushindani wa kijinga kama huo una wehu wake kule jukwaa la siasa na sio huku kwa wapenda burudani! Huwa anaringishia hadi dala dala za kwao....
 
Haha hata sikuwaza kwenye Gari. Nargis bwana wanadai wenyewe ni miss alofulia kuliko wote kwa sasa kiasi kwamba yuko tandale uzuri full uswazi
 
Bora umeachana nalo,ni likenya hilo....sijui huwa yanafanyaga nini huku???....tungewashinda wangenyamaza.....ila wameshinda wanataka tusinywe maji.

Kumbe mie hata nilikuwa sijastukia. Akafie mbali
 
Kubishana na huyo jamaa ni kupoteza muda coz' kila siku anapenda kuleta ushindani kati ya TZ na Kenya... anachosahau ni kwamba, ushindani wa kijinga kama huo una wehu wake kule jukwaa la siasa na sio huku kwa wapenda burudani! Huwa anaringishia hadi dala dala za kwao....

walisema kelele nyingi ni bure hamna atae tofautisho akili punguani.......na timamu ni yupi nakupa pass kaka!!!!!!!
 
Back
Top Bottom