E bhana eh... halafu sijamsikia kabisa miaka ya hivi karibuni! mara yangu ya mwisho kumsikia ni wakati anataka kuolewa... na wala sifahamu ndoa yenyewe kama ilifungwa, au lah!Haha hata sikuwaza kwenye Gari. Nargis bwana wanadai wenyewe ni miss alofulia kuliko wote kwa sasa kiasi kwamba yuko tandale uzuri full uswazi