Miss World na uhalisia, Kamati ya miss Tanzania wanacho cha kujifunza?

Haha hata sikuwaza kwenye Gari. Nargis bwana wanadai wenyewe ni miss alofulia kuliko wote kwa sasa kiasi kwamba yuko tandale uzuri full uswazi
E bhana eh... halafu sijamsikia kabisa miaka ya hivi karibuni! mara yangu ya mwisho kumsikia ni wakati anataka kuolewa... na wala sifahamu ndoa yenyewe kama ilifungwa, au lah!
 
hili la Nargis linahitaji coverage nzuri si hivi mnapita juu juu
 
E bhana eh... halafu sijamsikia kabisa miaka ya hivi karibuni! mara yangu ya mwisho kumsikia ni wakati anataka kuolewa... na wala sifahamu ndoa yenyewe kama ilifungwa, au lah!

Haha data zake zilimwagwa wanadai ameolewa na mlala hoi. Maisha anaishi ya average
 
duh... basi zilinipita hizo!

Kwa mange walitiririka Sana hadi mchepuko wake huko crdb anakofanya km kazi mjini kaazi. Umiss bila malengo unaumbuka ila ukiwa na akili unafika mbali MF. Nancy , faraja na millen magese
 
Nancy, Millen, Hoyce; wanajua kutumia fursa bila kumsahau Irene Kiwiya... Faraja ni habari nyingine ile... kichwa chake kipo njema sana yule demu.
 
Nimeangalia profile za hawa kamiss wengi wao ni wasomi ndo maana hata utirio unashuka na kazi wamepiga. Happy amefreeze masomo.
 
true.si umeona pale kwenye ile hall ambayo wanachangia mada?lazima uwe na kitu upstairs ndo uweze changia.ila huyu wa sasa alimrithi sitti ndo naona afadhari happy. simjui sana lakini nahisi hivyo.mungu nisamehe kama nimekosea.

mi labda niko tofauti...mbona kama sioni wanachofanya?...labda hoyce kidogo lakini wengine sijajua nahitaji kueleweshwa.
 
Yap same observation here... Namuona empty-set. tusubiri tuone. Hivi hawajifunzi kwenye finale km hizi? Binafsi nimejifunza kitu na ningekuwa kwenye kamati miss tz lazima mfumo ungebadilika kumeet viwango vya dunia
 
kule walitiririka kwasababu alilike comment ya mbuta nanga kwasababu mbuta alikua na bifu na mange.lakini hatujui kama ni kweli.huenda ni chuki binafsi.ukitofautiana tu na mange anakuandika mule na wale wachangiaji wanatiririka which to me is so awkward.
Kwa mange walitiririka Sana hadi mchepuko wake huko crdb anakofanya km kazi mjini kaazi. Umiss bila malengo unaumbuka ila ukiwa na akili unafika mbali MF. Nancy , faraja na millen magese
 
mi labda niko tofauti...mbona kama sioni wanachofanya?...labda hoyce kidogo lakini wengine sijajua nahitaji kueleweshwa.

Faraja amefungua library kuinua elimu Tz, faraja na nancy wana project ya kimataifa nimeisahau jina huwa wao ndio viongozi kwa Tz na huwa,wanaatend annual meeting za hyo project kila mwaka. Hii ni mbali na ajira zao.
Millen amefanikiwa kwenye tasnia ya fashion model kimataifa na amejijenga Sana. Hapa Tz anajenga shule mahali ( amejenga zaidi ya madarasa manne sasa anaendelea kuirenovate shule nzima from shule ya udongo/matope to block na finishing). Ana ishu nyingi anafanya kwenye foundation yake. Pia endometriosis awareness n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…