Besti usiache kunijuza nikupigie chapuo walau upate kaproject kauongo ka kuzugia miss world!
Ila Happy was good jamani japo kutwaa taji ilikuwa ngumu kidogo. Halafu kamati ya miss Tz nao hata hawajali kabisa route za mamiss wao kuelekea miss world, huyu binti alikuwa na support ndogo sana toka kwa viongozi wake zaidi amejitangaza yeye mwenyewe na mpakaa kufikia watz na baadhi ya media kumpa support ikiwemo blogs tofauti tofauti na pages binafsi za watu.
Kweli kama viongozi wa miss tz wangekuwa wanashughulika ipasavyo hakika huyu binti angetuandikia historia nzuri kama ya Nancy Sumari ama zaidi!
Kuongoza darasani....i meant umempiga msuli thatswhy ukawa ontop...unawa inspire watu especially girls...na hivyo umeigusa jamii....sijamfuatilia zaidi ya kuona coments humu....
Pamoja na hayo lakini hili lilikuwa halimpi sana credit! kwa mfano tangia awe Miss Tanzania angekuwa ameanzisha kitu kama happiness foundation kusaidia watoto wakike hasa yatima kwa kuwapa vifaa vya shule kupitia wafadhili nafikiri lingempa credit sana kuliko hilo la kuongoza darasani haligusi sana moja kwa moja!
Lakini Mimi sijawai kushabikia sana haya mashindano lakini huyu binti ndio alinifanya niyashabikie maana nilipo muona mara ya kwanza akiongea nilijua ana uwezo mkubwa sana na hakika ni kweli binti yuko vizuri sana! Huyu ni Miss pekee ambaye amewaunganisha watanzania na kapata support kubwa sana!
Kwenye haya mashindano tunahitaji kujipanga lazima tupate mtu ambaye ana uwezo kama huyu binti na afanya yaliyo sahauliwa na huyu binti! Nafikiri kamati ya Miss Tanzania inahitaji kusaidia sana kufanikisha!
Haya mkuu nadhani waandaji wa hili shindano,watakuwa wamejifunza kitu.....nimeipenda hii topic ....cha muhimu nadhani wasiiguse tu jamii yetu...bali kama inawezekana waende beyond....east africa,africa na dunia nzima kwa ujumla......ukiwa miss una influence kubwa...na kama project yako ina mashiko...unaweza kushangaa jinsi utakavyopata support dunia nzima......
Umenena vyema kabisa akanana Mrembo by Nature hili shindano ni zaidi ya kuwa na sura na umbo zuri!
Mi nafikiri Lundega atakuwa amejifunza kitu kuhusu ili shindano!
Linahitaji mtu mwenye kipaji!
Linahitaji mtu ambaye amefanya kitu kwa jamii na ambacho kimeiunganisha jamii na kuigusa!
Lina hitaji mtu ambaye anajua mambo ya dunia yanayo endelea kila Leo!
Mshiriki wetu pamoja kuwa alikuwa yuko vizuri up stairs bado ilikuwa haitoshi kumfanya ashinde lile shindano...nafikiri kama angetafuta kitu ambacho kingeigusa jamii moja kwa moja kinge msaidia!
Mfano kuna wazo la kuelimisha watu kuhusu Ebora au ange kuwa wa kwanza kuhamasisha watu kuchangia waathirika wa Ebora kupitia mitandao yasimu ..angekuwa hili wazo ameli create yeye ingemsaidia sana!
Mimi nilicho furahi ni kuona huyu binti amepata support kubwa sana kutoka kwa watanzania lakini Kamati ya Miss Tanzania bila shaka imejifunza kitu hili shindano linahitaji binti mjuzi wa mambo na mwenye kichwa kinacho chemka sana!
Hahahaa ni shida ngoja nijipange pange mwaka ujao nikashiriki
miss tz inabid wanze kuchukua wasomi zaidi lyk waliopo chuo kikuu maana profile za mamiss wengi ni wasomi tena univeristy nahc mtu msomi anauwezo na uelewa mkubwa compared na walioishia form 4
Ila Happy was good jamani japo kutwaa taji ilikuwa ngumu kidogo. Halafu kamati ya miss Tz nao hata hawajali kabisa route za mamiss wao kuelekea miss world, huyu binti alikuwa na support ndogo sana toka kwa viongozi wake zaidi amejitangaza yeye mwenyewe na mpakaa kufikia watz na baadhi ya media kumpa support ikiwemo blogs tofauti tofauti na pages binafsi za watu.
Kweli kama viongozi wa miss tz wangekuwa wanashughulika ipasavyo hakika huyu binti angetuandikia historia nzuri kama ya Nancy Sumari ama zaidi!
Hahahaa ni shida ngoja nijipange pange mwaka ujao nikashiriki
Umenena vyema kabisa akanana Mrembo by Nature hili shindano ni zaidi ya kuwa na sura na umbo zuri!
Mi nafikiri Lundega atakuwa amejifunza kitu kuhusu ili shindano!
Linahitaji mtu mwenye kipaji!
Linahitaji mtu ambaye amefanya kitu kwa jamii na ambacho kimeiunganisha jamii na kuigusa!
Lina hitaji mtu ambaye anajua mambo ya dunia yanayo endelea kila Leo!
Mshiriki wetu pamoja kuwa alikuwa yuko vizuri up stairs bado ilikuwa haitoshi kumfanya ashinde lile shindano...nafikiri kama angetafuta kitu ambacho kingeigusa jamii moja kwa moja kinge msaidia!
Mfano kuna wazo la kuelimisha watu kuhusu Ebora au ange kuwa wa kwanza kuhamasisha watu kuchangia waathirika wa Ebora kupitia mitandao yasimu ..angekuwa hili wazo ameli create yeye ingemsaidia sana!
Mimi nilicho furahi ni kuona huyu binti amepata support kubwa sana kutoka kwa watanzania lakini Kamati ya Miss Tanzania bila shaka imejifunza kitu hili shindano linahitaji binti mjuzi wa mambo na mwenye kichwa kinacho chemka sana!
Unajua tatizo haliko kwenye ma Miss wetu bali waandaaji wa shindano!
Nafikiri pia mshindi kwenye Umiss inabidi aendane na vigezo vya kumpata Miss world hii inaweza kusaidi kupata ushindi huko mbeleni!
Kwa swala la project ni kweli lazima iwe hile inayogusa siyo jamii yako tuu bali jamii ya kimataifa!
Na hili swala la kujua ni project gani inaweza kumsaidia mshiriki wetu kushinda linahitaji support kutoka kwa kamati wao ndio wanaweza kumsaidia mawazo na ubunifu wa jambo la kufanya ..
Tatizo kamati ya Ludenga inatoa support ndogo sana kwa hawa Ma miss! Kuna siku nilimsikia Mama Happy ana lalamika kukosa support kutoka kwa Lundenga na wenzake kipindi cha maandalizi ya Miss world! Walikuwa wamepungukiwa Pesa ya kutengeneza tangazo lakini walizungushwa sana hadi dakika za mwisho!
Hakika Kama Lundenga yuko serious kwenye hili shindano basi ajitolee kweli sio kuwatelekeza washiriki mwishoni!
Kuhusu social responsibilities/ projects haiwezi kufanikiwa na kupata mshiko km judge ataendelea kuwa martin kadinda. Lazima mtaalamu wa ishu za global development awemo km judge au kambi ya miss tz . pia awe moja ya wapiga msasa kuelekea miss world. Take it or leave it
Umbea nautaka hivi kule instagram munalove ndo nani?
Naona ana birthday ya mwanae sijui patthesmartboy...
Mastar kibao..
Anafanya issue gani...
Au ndo upunda maana....
Mhhhh
Haha muigizaji alianzia kwenye maigizo ya TV. Ila yuko powa flani. Ukimchokoza utachambwa live hanaga simile
Eeee nimepitia post naona anachamba
Eeee nimepitia post naona anachamba
Unadhani lundenga kwa uzoefu wake hayajui haya? Basi tu maadili Hana. Kuhusu project sio ya kisanii inabidi mhusika aivae na aifanye kwa moyo wote. Project za kisanii kila mtu anafanya
Mashindano yana maLengo mazuri tatizo wabongo mburula