Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
hahahaha!sasa jamani mkibishana hapa mambo yenu na HUKO PI-EMU ni wapi pazuri kwa mahusiano yenu?
...........kama mnaona sawa ENDELEENI!....sikuongea kwa ubaya!ofutopic zenu ni PRIVATE ZAIDI,ACCORDING TO ME!
come back bwana!usije ukaondoka milele nikakosa hela za MICHANGO YA HARUSIπ
wat r u insinyuating?
hebu naomba nifafanulie hizi red.kwa sababu huu uchumba wetu umekuwa public toka tunaomba kura kwa watu 4 hapahapa Jf.Na nategemea na ndoa tutaitangaza hapahapa.Na matesha akija picha itawekwa hapahapa jeiefu.
Sasa ukisema private zaidi mpwa tena hapa unaniacha.
Anyway nitaufanyia kazi ushauri wako wa kufunga mwaka.
SENKI YU VERI MACHI.
Nimekumiss shemeji yangu!
Mbutana....π

Vipi tena? Kudumisha mila kumekushinda mara?
Jamani, Mimi nami hunimisi?Thanks shemeji.Me too i miss my shemeji
Nimekumiss shemeji yangu!
Thanks shemeji.Me too i miss my shemeji
hahaha!
mi thijui bwana
enewei,NIMEKUPIGA NA SENKSI kwa afya ya mumeo
Jamani, Mimi nami hunimisi?
Nimekumiss shemeji yangu!
Thanks shemeji.Me too i miss my shemeji
Jamani, Mimi nami hunimisi?
.....ππ±
TUTAFIKA TU!
Sana shemu.Nimemisi shie.......na mimi nishemej yako I HOPE UMENIMISI PIA!......π
Sana shemu.Nimemisi shie.......
wewe ntaku-PM nimekumiss yangu.Jamani jamani! ni mimi tu ndio simisiwi? LOL!
hapo CHAWA!..........wewe ntaku-PM nimekumiss yangu.
Naanza kufanyia kazi ushauri wa Geoff
wewe ntaku-PM nimekumiss yangu.
Naanza kufanyia kazi ushauri wa Geoff
Jamani jamani! ni mimi tu ndio simisiwi? LOL!