Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
hahahaha!sasa jamani mkibishana hapa mambo yenu na HUKO PI-EMU ni wapi pazuri kwa mahusiano yenu?
...........kama mnaona sawa ENDELEENI!....sikuongea kwa ubaya!ofutopic zenu ni PRIVATE ZAIDI,ACCORDING TO ME!
come back bwana!usije ukaondoka milele nikakosa hela za MICHANGO YA HARUSI😀
wat r u insinyuating?
hebu naomba nifafanulie hizi red.kwa sababu huu uchumba wetu umekuwa public toka tunaomba kura kwa watu 4 hapahapa Jf.Na nategemea na ndoa tutaitangaza hapahapa.Na matesha akija picha itawekwa hapahapa jeiefu.
Sasa ukisema private zaidi mpwa tena hapa unaniacha.
Anyway nitaufanyia kazi ushauri wako wa kufunga mwaka.
SENKI YU VERI MACHI.