bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
kwani nani anastahili kummis nani?? (jinsia-wise)Thats my gel! Kizuri kula na nduguyo! Hivi huyu naniliu aliyekumisi ni he/she? Huulizi we unasema senksi tu! Stuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani nani anastahili kummis nani?? (jinsia-wise)Thats my gel! Kizuri kula na nduguyo! Hivi huyu naniliu aliyekumisi ni he/she? Huulizi we unasema senksi tu! Stuka!
kwani nani anastahili kummis nani?? (jinsia-wise)
.....dah😀😀Thats my gel! Kizuri kula na nduguyo! Hivi huyu naniliu aliyekumisi ni he/she? Huulizi we unasema senksi tu! Stuka!
Hahaha! Ushaanza woga?
jamani mi mpole msiogope
mimi ni she au wewe hujui naniliu ni kitu gani?
well noted changes on process
centre of gravity????Centre of gravity
Pretty lazima atakuwa honey moon sahizi huyu.][/COLOR]...Pretty, Mwanajamii'1, Penny, Woman Of Substance aka 'nanihii'...Lol , Bubu ataka kusema, sijawasoma siku nyingi... mpoooo? ...
Geoff ni Ngwini, huyu na wewe unamuambia senta ofu graviti,ataijulia wapi.mweleze habari za Malcomkhaa!!
...Pretty, Mwanajamii'1, Penny, Woman Of Substance aka 'nanihii'...Lol , Bubu ataka kusema, sijawasoma siku nyingi... mpoooo? ...
........Nimemiss kwa kweli JF haswa hili jukwaa, honeymoon ndio inaishia mwakani makamuzi kama kawaida ndani ya Jf. Natamani niwe nachat Jf kwa kutumia simu, ila ndio hivyo tena inabidi niwe busy na Mr.
Nimewamiss kinoma wapwaz na binamuz.
Heri ya mwaka mpya 2010!!