Missing you

Missing you

tatizo lake alipoenda huyua akaanza kutatua tatizo la kila mwanakijiji kule unategemea nini? huyu anakwambia kitochi, huyu anataka kiti moto, huyu anataka 'kubadili kinywaji' anywe Bia nk

bado hujakutana na anayekwambia hajala nyama toka mwaka uanze!

Hahaha! Kaka kuna kabia kanaitwa eagle! Kanauzwa 700. Ukinunua kakreti kamoja kijiji kizima unakuwa gumzo. Sasa ukitaka misifa unakopa nauli ya kurudi mujini! Tatizo nauli waliyonichangia wapwa nguli anaifanyia ujenzi bagamoyo rodi!
 
Ha ha ha ha, siunajua tunaangalia maslahi ya home-tegeta kwanza? Rombo tumeshamaliza kujenga. kumbuka starlet inafika mpaka Nairobi.
 
ha ha ha ha!niliona roli la mchanga linakatiza maeneo
 
Hahaha! Kula senksi hapo. Na kujenga heshima kwa kina Elizaz usisahau hilo!
 
ha ha ha ha!niliona roli la mchanga linakatiza maeneo

LOL! Kamchango kananunua mchanga? Afadhali, nlifikiri kokoto za zero pub? btw jana ulikumbuka kuchukua namba za matron na Halima? Uncle wa Kaizer atakuwa na UGENI wa kudumu kipindi hiki
 
Ndiyo yamekuwa hayo tena? Basi bora tubadilishe jina la forum hii na kuiita Wachagga Forum. Ukabila ukabila kila kukicha! agggggghhhhhh! 🙁

Ujengele una makelele kama vigelele,
una chuki binafsi na sisi watu wa mbele,
Mbona kuna thread ya wahaya na no kimbelembele?
 
Eti? Am back. Gonga SENKSI hapo fasta! Hahaha! Nna senksi 50 za kugawa, changamkeni! Miss u too dada/kaka!

waaaaooo welcome back, nimekugongea umeiona?
 
LOL! Kamchango kananunua mchanga? Afadhali, nlifikiri kokoto za zero pub? btw jana ulikumbuka kuchukua namba za matron na Halima? Uncle wa Kaizer atakuwa na UGENI wa kudumu kipindi hiki
pale naona panalipa!....yule matron atajadiliwa upya
 
waaaaooo welcome back, nimekugongea umeiona?

Hahaha! Nimeiona. Na wewe kama kawa umeilamba. Kathibitishe kama huamini. Na huo msisitizo wa dada nimekugongea na nyingine. Bado nna akiba ya SENKSI kumi kwa watakaonifurahisha kwa leo. Zichangamkie fastafasta kabla sijaanza mgomo!
 
Afu na wewe? Huko ulikokuwa hata netiweki hamna au? Shikamoo mama Maria.

modem ya zantel haifiki kule afu blakiberi ilinyewa mvua vibaya... so no mawasililiano
 
Asa si ungeni-PM nifanye vitu vyangu? We nawe!!!!!!!!!!!

aahhh ile PM yako ilinitisha nikaogopa kuwa victim wa mvua za moshi haaaa lol!!! we balaaaa ila simwambii sista wala!!!! its btn us!!
 
Thats my gel! Kizuri kula na nduguyo! Hivi huyu naniliu aliyekumisi ni he/she? Huulizi we unasema senksi tu! Stuka!
 
Back
Top Bottom