Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
tatizo lake alipoenda huyua akaanza kutatua tatizo la kila mwanakijiji kule unategemea nini? huyu anakwambia kitochi, huyu anataka kiti moto, huyu anataka 'kubadili kinywaji' anywe Bia nk
bado hujakutana na anayekwambia hajala nyama toka mwaka uanze!
Hahaha! Kaka kuna kabia kanaitwa eagle! Kanauzwa 700. Ukinunua kakreti kamoja kijiji kizima unakuwa gumzo. Sasa ukitaka misifa unakopa nauli ya kurudi mujini! Tatizo nauli waliyonichangia wapwa nguli anaifanyia ujenzi bagamoyo rodi!