Missing you

Missing you

Hahaha! Afu wewe nawe! Leo mwaka tunauaga kinyemela siyo?
kama kawaida kwa ''MJOMBA''
nimeshapiga simu CHAWOTE nataka tukamle kuku wa kienyeji pale!
tutaanzia kwa mjomba
 
hebu mwambie umemis uone reponsi yake nawee heee!!! Bichwa gumu tu!! Hao shemejiz wamwmwambia wamemmis nayeye kawapa jib taaaaaamu!!!
Lalama hapo kunakucha

i miss you my mchumba ziondaughter!
 
kama kawaida kwa ''MJOMBA''
nimeshapiga simu CHAWOTE nataka tukamle kuku wa kienyeji pale!
tutaanzia kwa mjomba

Tatizo mwenyeji wetu Kaizer yuko bize sana bana! Haelewekieleweki, sijui ana program gani huyu!
 
Tatizo mwenyeji wetu Kaizer yuko bize sana bana! Haelewekieleweki, sijui ana program gani huyu!
the whole project TO BE ENGINEERED BY ME!..............

KAIZER WILL JOIN US LATER......tukiwa chawote
 
hebu mwambie umemis uone reponsi yake nawee heee!!! bichwa gumu tu!! hao shemejiz wamwmwambia wamemmis nayeye kawapa jib taaaaaamu!!!
lalama hapo kunakucha

malizia basi na wewe jamani......


Alrite, kumbe B umoeeh..ntakualika kitchen party moja huku uswazi....
 
And who will balance the sheets!
..........!😀😀
halima will be taking the LEAD!
assisted by matron and PRISCA

chawote:....well ANNAH(kwa kutaja hili jina utanikumbuka na senksi,manake leo umenisahau kweli)
 
..........!😀😀
halima will be taking the LEAD!
assisted by matron and PRISCA

chawote:....well ANNAH(kwa kutaja hili jina utanikumbuka na senksi,manake leo umenisahau kweli)

Tayari, kathibitishe.
 
Xspin-Atakuwa hapa jamvini kuanzia kesho.

Masanilo-Mh may be after two wks amekamatika na MZENJI 100%. Yuko jimbo lake la
uchaguzi na kama haitoshi MZENJI ndio kampeni manager....hapatoshi huko na Lazima
wachukue jimbo. Atakuja mwenyewe kudhibitisha haya.

Iteitei lya kite-Moshi kuna mvua sana laptop yake imekosa network.

Carmel wako na mumewe vekesheni comoro.

Bht-Kaenda kutolewa mahari kijijini kwao.


ilishindikana jamaaa hakufikia bei!!!! aaaaaaah alinisumbua bure kwenda mpaka upcountry huko
 
wapwa jioni njema na heri ya mwaka mpya. naenda kujiandaaa na mkesha kwaya yetu ndo nguzo!!!!! Kaizer meet you there!!!
 
Back
Top Bottom