Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Nikijana wakirusi aliyelipwa dollar 250000 akitekeleza mpango huo akaenda kapaki skuta ya umeme na kwenda kukaa katika gari mbali na remote yake General alivyotoka jamaa akabonya mmoja aliyekuwa anachukua matukio yote yupo mikononi mwa urusi naye ni kijana wa kirusi pia!
Kwa kiswahili tunaita bwege mtozeni aka fake attackers wenye interest wako mile nyingi sana attackers inawezekana hata hawakujua profile ya target, focus yao ni 250000 wakale Bata na kishow off on social media.
The same attacker wangejua profile ya target wasingekwenda kufanya hiyo kazi.
Wamefanyishwa kazi kuuubwa kwa malipo madogo huku usalama wao hakuna aliyejali, it's Russians for russians we don't careHukumu kali inaweza kuwakuta main plotters na sio hawa madogo, hapo ni mwendo wa crackdown na filtration kuanzia kwa wale dili kampanda dili mpaka main characters.