Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.

Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.

Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
 
Kama wanamlipa vzuri acha apige pesa maisha hayana formula unaweza kuwa peak kwa muda mfupi ukaleta pozi muda wako ukapita speed kama wa marehemu shika au liquid
 
Mbona kina Harmonise na wasanii wengine wanoimba majukwaa ya Yanga hawajapotea? Huyo ni shabiki wa Simba toka kijijini kwao...
Mkimchukia shaurini yenu anao mashabiki zaidi ya milioni 5 wa simba watamfollow...
Harmonize amepotea?
 
Miso misondo unapigaje hapo? Kamkamata mhaya wa Nyaishozi.
Wale jamaa ni burudani sana.
 
Kama wanamlipa vzuri acha apige pesa maisha hayana formula unaweza kuwa peak kwa muda mfupi ukaleta pozi muda wako ukapita speed kwa marehemu shika au liquid
Bado anakuwa amejichagulia upande mfano yanga hawatoweza kufanya naye kazi ikitokea
 
Kina harmonize mbona wanatumbuiza Yanga na hawapotei, Alikiba na Zuchu wametumbuiza na hawapotei, tatizo mashabiki wa Yanga na Simba mnaleta ubishi wa kishabiki hata kwenye mambo ya kutafuta riziki, Je Yanga wangemwita tofauti ni nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado anakuwa amejichagulia upande mfano yanga hawatoweza kufanya naye kazi ikitokea
Sasa kama kufanya na simba tu umeona haipo sawa hiyo ya Yanga unayosema ikitokea ingekuwa na tofauti gani na hii anafanya sasa?
 
Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.

Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.

Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
Duh! Wachambuzi!!!!
 
UTOPOLO FC mligomea products za Bakhresa mbona bado anauza? Na faida anapata?

Yaani kijana asiende kwenye timu yenye rank kubwa CAF awafikirie UTOPOLO FC?
 
Back
Top Bottom