Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kama wanamlipa vzuri acha apige pesa maisha hayana formula unaweza kuwa peak kwa muda mfupi ukaleta pozi muda wako ukapita speed kama wa marehemu shika au liquidSimba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.
Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.
Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
Harmonize amepotea?Mbona kina Harmonise na wasanii wengine wanoimba majukwaa ya Yanga hawajapotea? Huyo ni shabiki wa Simba toka kijijini kwao...
Mkimchukia shaurini yenu anao mashabiki zaidi ya milioni 5 wa simba watamfollow...
Miso misondo unapigaje hapo? Kamkamata mhaya wa Nyaishozi.Mbona kina Harmonise na wasanii wengine wanoimba majukwaa ya Yanga hawajapotea? Huyo ni shabiki wa Simba toka kijijini kwao...
Mkimchukia shaurini yenu anao mashabiki zaidi ya milioni 5 wa simba watamfollow...
Bado anakuwa amejichagulia upande mfano yanga hawatoweza kufanya naye kazi ikitokeaKama wanamlipa vzuri acha apige pesa maisha hayana formula unaweza kuwa peak kwa muda mfupi ukaleta pozi muda wako ukapita speed kwa marehemu shika au liquid
Ali b anapumulia mashineMiso misondo unapigaje hapo? Kamkamata mhaya wa Nyaishozi.
Wale jamaa ni burudani sana.
Haina shida mkuu as long as pesa ipo.Bado anakuwa amejichagulia upande mfano yanga hawatoweza kufanya naye kazi ikitokea
Soma vzr tena reply yangu? Mm ndo nimekuuliza Harmonise amepotea baada kuwa majukwani na Yanga au kuiimbia Yanga? Waache wasanii wajitafutie mapeneHarmonize amepotea?
Kina harmonize mbona wanatumbuiza Yanga na hawapotei, Alikiba na Zuchu wametumbuiza na hawapotei, tatizo mashabiki wa Yanga na Simba mnaleta ubishi wa kishabiki hata kwenye mambo ya kutafuta riziki, Je Yanga wangemwita tofauti ni nini ?Bado anakuwa amejichagulia upande mfano yanga hawatoweza kufanya naye kazi ikitokea
Simba hatuhusiki kwenye Ujinga huo....Kina harmonize mbona wanatumbuiza Yanga na hawapotei, Alikiba na Zuchu wametumbuiza na hawapotei, tatizo mashabiki wa Yanga na Simba mnaleta ubishi wa kishabiki hata kwenye mambo ya kutafuta riziki, Je Yanga wangemwita tofauti ni nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama kufanya na simba tu umeona haipo sawa hiyo ya Yanga unayosema ikitokea ingekuwa na tofauti gani na hii anafanya sasa?Bado anakuwa amejichagulia upande mfano yanga hawatoweza kufanya naye kazi ikitokea
Duh! Wachambuzi!!!!Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo
Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka.
Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana.
Hiyo team ina laana sana na uchawi mwingi sana dogo anaenda kupotea
UTOPOLO FC mligomea products za Bakhresa mbona bado anauza? Na faida anapata?Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo