Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
A typical mswahili.Umeamua kuja kujipigia debe ?
Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Kwanini mtu akileta habari negative kuhusu fulani, like amefilisika, fulani mchawi, shoga huwa hamsemi ametumwa?Umeamua kuja kujipigia debe ?
Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Shangaa watanzania yaani wamekaa kiroho mbaya, yaani mimi mtu wa kanda ya ziwa nahusikaje kuwa misso kijana wa mtwaraKwanini mtu akileta habari negative kuhusu fulani, like amefilisika, fulani mchawi, shoga huwa hamsemi ametumwa?
Ila akileta habari ya kupongeza kazi nzuri inayofanywa na fulani mnasema katumwa au anajipigia debe? Ni kwanini?
Usikariri maisha kijana, dunia haiko hivyo ulivyo jifungia kwenye empty box.Umeamua kuja kujipigia debe ?
Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Shangazi mjomba nawe upo vizuriUmepigaje hapo?
Mara maji mwaaaaa!!!
Inakuwa chubwa!! chubwa!! chubwa!! chubwa!! chubwa!! chubwa!!
Dah! Watanganyika roho mbaya sana..wamekukosea nini..vijana wapo kwenye harakati zao za kutafuta ugali..Umeamua kuja kujipigia debe ?
Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Duh! Hii ni roho ya kichawi...Umeamua kuja kujipigia debe ?
Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
baadhi ya wa_Tanzania wana roho ya HUSDA hawapendi maendeleo ya mtu mwingine.MUNGU atuokoe kwa hili wa_Tanzania.Kwanini mtu akileta habari negative kuhusu fulani, like amefilisika, fulani mchawi, shoga huwa hamsemi ametumwa?
Ila akileta habari ya kupongeza kazi nzuri inayofanywa na fulani mnasema katumwa au anajipigia debe? Ni kwanini?
HongeraUmeamua kuja kujipigia debe ?
Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Wabongo kwa roho mbaya hawajambo....A typical mswahili.
Hii sasa ndio roho ya kwaniniUmeamua kuja kujipigia debe ?
Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Hiki unachokisemaa ni kituu muhimu sanaa sio kidgo, wamepiga hatua kubwa ina takiwa waktii mwngnee wanpiga sutii makinii, suti kali mpka watuu waanze upyaa kuwapa focus tenaa, wakiona wamechokwa tenaa wana hama na new style.Umeamua kuja kujipigia debe ?
Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Akili za wabongo zimekaa kwenye negativity mindsetKwanini mtu akileta habari negative kuhusu fulani, like amefilisika, fulani mchawi, shoga huwa hamsemi ametumwa?