Misso Misondo naona anazidi kwenda mbali

Bando la wiki

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
911
Reaction score
3,017
Kiutani utani nilisikia wimbo wa kwenye vibanda vya muziki nikiwa napita, mdundo wake ulinivuta nikazama SHAZAM kujua ni msanii gani kahusika.

Duh mkali wa singeli Misso Missonda naona kapita na wimbo wa kihindi na kuuleta kwenye mahadhi ya kisingeli cha bongo.

Wimbo ni hatari unaitwa TERA GHATA huko vizuri sana.

Kwa namna wahindi wanavyopenda kuona mziki wao unaimbwa duniani, naona kabisa kijana Misso kupata mialiko mingi huko India.

Mungu ambariki kijana mwenzetu mtanzania kwenye harakati zake za kujitafutia riziki.
 
Umeamua kuja kujipigia debe ?

Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Kwanini mtu akileta habari negative kuhusu fulani, like amefilisika, fulani mchawi, shoga huwa hamsemi ametumwa?

Ila akileta habari ya kupongeza kazi nzuri inayofanywa na fulani mnasema katumwa au anajipigia debe? Ni kwanini?
 
Shangaa watanzania yaani wamekaa kiroho mbaya, yaani mimi mtu wa kanda ya ziwa nahusikaje kuwa misso kijana wa mtwara
 
Umeamua kuja kujipigia debe ?

Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Usikariri maisha kijana, dunia haiko hivyo ulivyo jifungia kwenye empty box.
 
Umeamua kuja kujipigia debe ?

Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Dah! Watanganyika roho mbaya sana..wamekukosea nini..vijana wapo kwenye harakati zao za kutafuta ugali..
 
Umeamua kuja kujipigia debe ?

Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Duh! Hii ni roho ya kichawi...
 
Kwanini mtu akileta habari negative kuhusu fulani, like amefilisika, fulani mchawi, shoga huwa hamsemi ametumwa?

Ila akileta habari ya kupongeza kazi nzuri inayofanywa na fulani mnasema katumwa au anajipigia debe? Ni kwanini?
baadhi ya wa_Tanzania wana roho ya HUSDA hawapendi maendeleo ya mtu mwingine.MUNGU atuokoe kwa hili wa_Tanzania.
 
Umeamua kuja kujipigia debe ?

Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Hongera

Stage unayofuatia ni kupaa na ungo
 
Umeamua kuja kujipigia debe ?

Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Hii sasa ndio roho ya kwanini
 
Umeamua kuja kujipigia debe ?

Ubunifu zero ! Zaidi ya ile mikoti yao Michafu oversized, na style ile ile ya kucheza hawana jipya,,,, watu hubadilika, wanatakiwa wawe wabunifu daily
Hiki unachokisemaa ni kituu muhimu sanaa sio kidgo, wamepiga hatua kubwa ina takiwa waktii mwngnee wanpiga sutii makinii, suti kali mpka watuu waanze upyaa kuwapa focus tenaa, wakiona wamechokwa tenaa wana hama na new style.
 
Kwanini mtu akileta habari negative kuhusu fulani, like amefilisika, fulani mchawi, shoga huwa hamsemi ametumwa?

Ila akileta habari ya kupongeza kazi nzuri inayofanywa na fulani mnasema katumwa au anajipigia debe? Ni kwanini?
Akili za wabongo zimekaa kwenye negativity mindset
 
Back
Top Bottom