Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Kiutani utani nilisikia wimbo wa kwenye vibanda vya muziki nikiwa napita, mdundo wake ulinivuta nikazama SHAZAM kujua ni msanii gani kahusika.
Duh mkali wa singeli Misso Missonda naona kapita na wimbo wa kihindi na kuuleta kwenye mahadhi ya kisingeli cha bongo.
Wimbo ni hatari unaitwa TERA GHATA huko vizuri sana.
Kwa namna wahindi wanavyopenda kuona mziki wao unaimbwa duniani, naona kabisa kijana Misso kupata mialiko mingi huko India.
Mungu ambariki kijana mwenzetu mtanzania kwenye harakati zake za kujitafutia riziki.