Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,733
Ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,JK ni mchapazi.
Fainali ni Oktoba,31.
Jamani mi nilikuwepo kilichowaudhi wengi ni kuchanganya siasa na burudani iliyotupeleka pale hata angemtaja Slaa angezomewa,watu tunaenda kwenye kumbi za starehe kupumzisha akili baada ya uchaguzi kutawala TV,redio,magazeti,mabango etc.
Swali: Utamchagua Rais wa aina...?
Utamchagua Rais wa aina gani? Mgombea wa miss Tanzania ajibu: Nitamchagua Rais anayechapa kazi kama mheshimiwa Jakaya Kikwete.. Watazamaji wazomea: Booooooo!
Kwanini hawakumzomea muuliza swali? Hivi umesoma swali na kulielewa?
Kama ni kuzomea mngeanzia kumzomea muuliza swali.
Hii siyo mara ya kwanza swali la kisiasa kuulizwa kwenye hayo mashindano? Bado ukweli uko pale pale ... watu wameichoka CCM!
jamani mi nilikuwepo kilichowaudhi wengi ni kuchanganya siasa na burudani iliyotupeleka pale hata angemtaja slaa angezomewa,watu tunaenda kwenye kumbi za starehe kupumzisha akili baada ya uchaguzi kutawala tv,redio,magazeti,mabango etc.
Ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,JK ni mchapazi.
Fainali ni Oktoba,31.
Ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,JK ni mchapazi.
Fainali ni Oktoba,31.
safi sanaWatu walifanya makosa sana kumzomea binti.......
Aisifiaye Mvua jamani. Inawezekana binti alishapelekeshwa ALL NIGHT LONG.
Kutoka siku hiyo akajua Mkwere ni Mchapa fiMbo......ahhaaa samahani mchapa kazi safi sana.
Sasa mlitaka amsifie Slaa? Hata Mzee Kenyantta alijisifu "Wanaosema mie Mzee, muulizeni Mama Ngina".
ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,jk ni mchapazi.
Fainali ni oktoba,31.
shindano gani hilo??? ni hilo la miss tz au kuna la start TV pekee?Katika kile kinachoonyesha joto la Dr. Slaa kupanda sana, kwenye shindano la urembo lililoendeshwa na Star TV, mrembo mmoja alizomewa na ukumbi mzima katika mahojiano yafuatayo:
Swali: Utamchagua Rais wa aina...?
Utamchagua Rais wa aina gani? Mgombea wa miss Tanzania ajibu: Nitamchagua Rais anayechapa kazi kama mheshimiwa Jakaya Kikwete.. Watazamaji wazomea: Booooooo!
My Take:
Tanzania bila CCM inawezekana!