Ng'azagala
JF-Expert Member
- Jun 7, 2008
- 1,288
- 222
Wote walikuwepo hata Rostam alikuwepo! ilikuwa ni aibu kubwa. Siku tatu kabla ya jana Ridhwan na kikundi cha vijana wa ccm wanaojitangaza kumuunga mkono rais kikwete kilitembelea kambi ya warembo kwenda kuuza sura zao na ujinga wa CCm. wako warembo walio wachora na kuwaona kama wakware tu. nafikiri lile swali lilitungwa na Ridhwan na kundi lake wakidhani lingemjenga Kikwete. Hawakujua kuwa watz hawadanganyiki tena.
Ila ukweli unaonekana,mkubali mkatae,JK ni mchapazi.
Fainali ni Oktoba,31.
CCM is a bIG Party, chama cha mapinduzi
Mapinduzi ya kiuchumi
Mapinduzi ya kifkra
Mapinduzi ya Elimu
Mapinduzi ya Kilimo
Mapinduzi ya Afya
Mapinduzi ya kidemokrasia
Mapinduzi ya Utamaduni na Michezo
Mapinduzi ya Viwanda
Mapinduzi ......
na Katu si Chama cha kuwaweka watanzania kwenye DEMA, si chama cha mitego
Una akili sana mkuu. Hongera sana ...kwa kuchanganya na zako
Na Mapinduzi ya Wizi piaCCM is a bIG Party, chama cha mapinduzi
Mapinduzi ya kiuchumi
Mapinduzi ya kifkra
Mapinduzi ya Elimu
Mapinduzi ya Kilimo
Mapinduzi ya Afya
Mapinduzi ya kidemokrasia
Mapinduzi ya Utamaduni na Michezo
Mapinduzi ya Viwanda
Mapinduzi ......
na Katu si Chama cha kuwaweka watanzania kwenye DEMA, si chama cha mitego
Sikonge ilikuwa ni kichekesho sana,ukweli iilibidi tuzomee,bi dada kajitutumua kumnadi mgombea wake,kilichofuata kitabaki ktk kumbukumbu zake!Watu walifanya makosa sana kumzomea binti.......
Aisifiaye Mvua jamani. Inawezekana binti alishapelekeshwa ALL NIGHT LONG.
Kutoka siku hiyo akajua Mkwere ni Mchapa fiMbo......ahhaaa samahani mchapa kazi safi sana.
Sasa mlitaka amsifie Slaa? Hata Mzee Kenyantta alijisifu "Wanaosema mie Mzee, muulizeni Mama Ngina".
Hahitaji kusimuliwa,kitu ilikuwa LIVE Star TV,na hawakukata matangazo kama wale TBC!dah! hiyo imetulia sana, tatizo huyo rizii wanii hasomi alama za nyakati kutokana na kuwa na upeo mdogo wa kupembua mambo,
amelivaa aibu la mwaka sasa, nadhani akimsimuli babaye basi ni dhahili kaanguka huko aliko
Jamani mi nilikuwepo kilichowaudhi wengi ni kuchanganya siasa na burudani iliyotupeleka pale hata angemtaja Slaa angezomewa,watu tunaenda kwenye kumbi za starehe kupumzisha akili baada ya uchaguzi kutawala TV,redio,magazeti,mabango etc.
Baada ya kuzomewa yule mrembo nilitegemea matangazo yangekatishwa ghafla lakini bahati nzuri yalikuwa yanarushwa na StarTv na sio TBC1.
Wamemuonea binti wa watu bure, watu inabidi tujifunze kuweka ushabiki na unazi wetu in check. Tusipeleke hisia zetu za siasa katika kila kitu ni lazima tuheshimu uhuru na maoni ya watu hata kama tunapingana nayo maana huu ndio ukomavu hasa wa mwanadamu.
Wamemuonea binti wa watu bure, watu inabidi tujifunze kuweka ushabiki na unazi wetu in check. Tusipeleke hisia zetu za siasa katika kila kitu ni lazima tuheshimu uhuru na maoni ya watu hata kama tunapingana nayo maana huu ndio ukomavu hasa wa mwanadamu.
Tusipeleke shutuma kwa watu wengine, waliozomea si waandaaji bali ni wahudhuriaji wa mashindano wa yale na ni hao ndio waliomfanyia makosa binti wa watu kwa kushindwa kuheshimu huru wake wa maoni. Kama ingekuwa tunazomeana kila wakati mtu anaposema jambo tusiloafikiana nalo basi huku mitaani kungekuwa hakuishiki maana ingekuwa ni makelele tu.
Swali lile lilikuwa very balanced na hata dhamira yake ya kupima uwezo wa warembo wetu katika ufahamu wao wa maswala nyeti yanayoigusa jamii kwa sasa.
Heshima ni kitu muhimu sana katika maisha ya wanadamu na ni bure pia.