Wewe mpira hujui ndio maana hata Gamondi anamuona sio kocha mimi nilishakujua kitambo wewe kwenye mpira huna unalojua..nyie watu amjui mpira mchezaji mzuri mapema tu unamwona. Duke ni small playee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpira hujui ndio maana hata Gamondi anamuona sio kocha mimi nilishakujua kitambo wewe kwenye mpira huna unalojua..nyie watu amjui mpira mchezaji mzuri mapema tu unamwona. Duke ni small playee
true tume shinda ila abuya was the reason for simba mid field strength.Mechi si tumeshinda! Au magoli hadi yafike 10 ndio furaha iwepo?
Acha ushabiki angalia mpira. rudia mechi hii na ya kaizer chiefs. abuya was terrible sema watu awaoni. mzize anarudi defence kisa abuya apeleki mpira mbeleWewe mpira hujui ndio maana hata Gamondi anamuona sio kocha mimi nilishakujua kitambo wewe kwenye mpira huna unalojua..
wewe shabiki ujui mpira.Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.
Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.
Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.
.
Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.
OVER
Sasa hapa ndio nimejua wewe mpira hujui unafahamu ni kwann Mzize aliingia kuchukua nafasi ya Dube?Acha ushabiki angalia mpira. rudia mechi hii na ya kaizer chiefs. abuya was terrible sema watu awaoni. mzize anarudi defence kisa abuya apeleki mpira mbele
Sasa hapa ndio nimejua wewe mpira hujui unafahamu ni kwann Mzize aliingia kuchukua nafasi ya Dube?
Well tried, though you need more retoolingDuke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮
Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.
Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.
Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.
I hope gamondi works on this.
huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
wtf is this?? what language is this??Well tried, though you need more retooling
Usitulazimishe sasa.watu amna talent watching
Hujui mpira mkuumatch ipo youtube. nenda mwangalie abuya tu. mechi nzima utashangaa.
hata dribbling awezi. through ball za kubahatisha. akili hana. angle ajui.
Ni nguvu ishalllah
Read carefully what you wrotewtf is this?? what language is this??
nenda Ludia mechi. watch abuya position. out of position, poor dribbling, poor vision, unstable mid-fielder.Daah kama mpira wa kuangalia tu hamjui mtaweza nini? Abuya kwa kiwango alichocheza jana zile pass ambazo alikua ana block unakuja mtu umeshiba zako maharage unasema Abuya sio mchezaji nadhani jikiteni kwenye fani zenu..Wale Simba walikua na viungo wengi kitu ambacho kilifanya waweze kucheza vizuri koungo na huku Ki hakabi kabisaa na anapoteza mipira hovyo ninyi msiojua mpira mpo kwa mafundi wa mpira Abuya alikua anatoa mpira upande huu na anapeleka kwa Boka mpira unaanza upya harafu unatokea na viingereza vyako kumponda mchezaji aliefanya vizuri...
elimu mashabiki amnaUsitulazimishe sasa.
education is key. watch football from your mind not from your eyesHujui mpira mkuu
Muanzisha mada ni debe tupu mkuu..Daah kama mpira wa kuangalia tu hamjui mtaweza nini? Abuya kwa kiwango alichocheza jana zile pass ambazo alikua ana block unakuja mtu umeshiba zako maharage unasema Abuya sio mchezaji nadhani jikiteni kwenye fani zenu..Wale Simba walikua na viungo wengi kitu ambacho kilifanya waweze kucheza vizuri kiungo na huku Ki Aziz akabi kabisaa na anapoteza mipira hovyo ninyi msiojua mpira mpo kwa mafundi wa mpira Abuya alikua anatoa mpira upande huu na anapeleka kwa Boka mpira unaanza upya harafu unatokea na viingereza vyako kumponda mchezaji aliefanya vizuri...
It's your English, which I am worried about.Read carefully what you wrote
Mudathir anacheza sana back pass na anapoteza sana mipira huwezi kumfananisha Mudathir na Abuya...Abuya amewazidi mbali sana shida yenu mmeleta Utanzania kazi aliyoifanya sio ndogo pale kiungo ilimfanya Aucho aweze kutoa pass kwa usahihi na kupunguza rafu zake...nenda Ludia mechi. watch abuya position. out of position, poor dribbling, poor vision, unstable mid-fielder.
alot of lost possession, mudathir could have created more chances to score than abuya. he is not an intelligent player.
go watch that match again. you can watch a kaizer chiefs match too. he was yanga weak link.
watch football from you mind not from your eyes
Kwani Simba ni big mechi?mbona unawapa credit Simba kwa sifa wasizokuwanzao.Simba nisawa na prisonDuke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮
Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.
Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.
Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.
I hope gamondi works on this.
huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.