Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

Muanzisha mada ni debe tupu mkuu..
Nimemuuliza kwann Gamondi alimtoa Dube na kumuingiza Mzize analeta porojo niende youtube sijui jitazame nin yani kwa kifupi jamaa ni mtupu mno kwenye mpira na nashangaa kwann anaendelea kuongelea kitu asichokijua..

this means huna akili. striker for cf and wing

this is small football talk. get educated ndo uludi hapa.

hizi story za vijiweni
 
Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
Kwa kifupi jana Gamondi hakutaka kuwa predictable mwanzoni sababu hata mpinzani tulikuwa hatumjui, ndio maana dk 30 za mwanzo tulikuwa tunanyang'anyana possession ila kuanzia dk ya 30 na kuendelea Yanga ilidominate mpira kwa asilimia zaidi sabini.

Kipindi cha pili dk 15 5imba wakauchukua mchezo na Yanga wakaja uchukua dk20 nyingine. Dk 10 za mwisho 5imba alijaribu kurudi mchezoni ila still possession ikawaya ya kubadilishana. Game plan ya jana kocha alikuwa sawa sababu alikuwa hawajui 5imba ila 5imba wao walikuwa wameiona Yanga.

Huyu jamaa tumzoee mropokaji hana anacho kijua huyo Duke hakucheza vibaya
 
Muanzisha mada ni debe tupu mkuu..
Nimemuuliza kwann Gamondi alimtoa Dube na kumuingiza Mzize analeta porojo niende youtube sijui jitazame nin yani kwa kifupi jamaa ni mtupu mno kwenye mpira na nashangaa kwann anaendelea kuongelea kitu asichokijua..
Makocha wa Argentina wana mfumo wa kuzuia sana na kushambulia kwa kasi ndicho alichokitumia Gamond jana mimi yule Abuya kwa kazi aliyoifanya kutoka ilikua sahihi maana alichoka ila alieingia tuliona gap kubwa pale maana Mudathir huwa anajitengea sehemu ya kucheza na kukaba tofauti na Abuya kiungo mkabaji na msambaza mipira sikutegemea kukuta mtu kumzungumzia yule mchezaji kwa mpira aliocheza jana..
 
Mudathir anacheza sana back pass na anapoteza sana mipira huwezi kumfananisha Mudathir na Abuya...Abuya amewazidi mbali sana shida yenu mmeleta Utanzania kazi aliyoifanya sio ndogo pale kiungo ilimfanya Aucho aweze kutoa pass kwa usahihi na kupunguza rafu zake...

abuya is worse hana forward passes. awezi control the mid field. awezi toa pass za mwisho.

Ni kibu denis wa mid field

on the field ni headless chicken. sema watu don't concentrate on players. rewatch the match.

yanga players will complain about abuya soon or later
 
Kwa kifupi jana Gamondi hakutaka kuwa predictable mwanzoni sababu hata mpinzani tulikuwa hatumjui, ndio maana dk 30 za mwanzo tulikuwa tunanyang'anyana possession ila kuanzia dk ya 30 na kuendelea Yanga ilidominate mpira kwa asilimia zaidi sabini.

Kipindi cha pili dk 15 5imba wakauchukua mchezo na Yanga wakaja uchukua dk20 nyingine. Dk 10 za mwisho 5imba alijaribu kurudi mchezoni ila still possession ikawaya ya kubadilishana. Game plan ya jana kocha alikuwa sawa sababu alikuwa hawajui 5imba ila 5imba wao walikuwa wameiona Yanga.

Huyu jamaa tumzoee mropokaji hana anacho kijua huyo Duke hakucheza vibaya
you don't watch football.

you watch with your eyes nothing technical. no analysis of the game.

no weakness. but true they needed abuya to be different but he is not a good player
 
abuya is worse hana forward passes. awezi control the mid field. awezi toa pass za mwisho.

Ni kibu denis wa mid field

on the field ni headless chicken. sema watu don't concentrate on players. rewatch the match.

yanga players will complain about abuya soon or later
Kwenye mpira ukiona mchezaji mgeni kaanza jua pana vitu vingi kaonyesha hata huko kwenye mazoezi usione mtu anaanza tu Yanga au Simba yupo mwenzio alisema Ki tumepata hasara leo hii anaukimbia uzi wake yupo aliesema Boke hakuna mchezaji leo hii wanamkubali mpira una vitu vingi sana mpaka uujue sio kuanza kuangalia tu hizi Simba vs Yanga...
 
you don't watch football.

you watch with your eyes nothing technical. no analysis of the game.

no weakness. but true they needed abuya to be different but he is not a good player
Ukiona Wakenya,Waganda wapo nje ya Nchi yao jua ni exceptional prayer sidhani kama wewe unaweza kuwakosoa hilo sidhani samahani kwa kukwambia wewe hauwezi kumkosoa Abuya jikite tu kwenye fani yako...
 
Duke Abuya Bado hana icho kiwango Cha kumuweka nje Mudathir Kwa sasa, ni hivyo tu gamondi labda Kuna muunganiko anatafuta. Kwa maoni yangu Abuya Bado haja deserve kuingia first 11.
 
you don't watch football.

you watch with your eyes nothing technical. no analysis of the game.

no weakness. but true they needed abuya to be different but he is not a good player
Nakwambia kila siku mpira hujui kacheze marede, siona hata kitu cha tech ulicho zungumzia. Naijuia na naufahamu vizuri.
 
Duke Abuya Bado hana icho kiwango Cha kumuweka nje Mudathir Kwa sasa, ni hivyo tu gamondi labda Kuna muunganiko anatafuta. Kwa maoni yangu Abuya Bado haja deserve kuingia first 11.
Mpira sio maoni toa technical fact maoni tupeleke huko kwenye vyama vya Siasa...
Duke kamzidi sana Mudathir na back pass zake kwa mwanyeto au kipa wakati Duke dk zote katoa pass kwa kipa mbili tu..
 
Kwenye mpira ukiona mchezaji mgeni kaanza jua pana vitu vingi kaonyesha hata huko kwenye mazoezi usione mtu anaanza tu Yanga au Simba yupo mwenzio alisema Ki tumepata hasara leo hii anaukimbia uzi wake yupo aliesema Boke hakuna mchezaji leo hii wanamkubali mpira una vitu vingi sana mpaka uujue sio kuanza kuangalia tu hizi Simba vs Yanga...
key can't work with abuya. this season would be hard for him. if abuya more involved in games.
 
Mpira sio maoni toa technical fact maoni tupeleke huko kwenye vyama vya Siasa...
Duke kamzidi sana Mudathir na back pass zake kwa mwanyeto au kipa wakati Duke dk zote katoa pass kwa kipa mbili tu..
upo emotional sana. use your brain
 
Back
Top Bottom