Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

Jamaaa nimecheka sana huyu ni Mwanasimba hua anajifanya anaipenda Yanga kujifanya kuleta Ideas kama za kuonyesha kua anataka kuijenga ana maumivu makali nyuzi zake zote nimeziweka pale hakuna uzi hajaacha kukosoa hata mmoja na anakosoa vitu ambavyo amekua proved wrong😂😂
reference zipo chini nyingi tu
 
Duh! Ni Abuya huyu wa Yanga au wa ndondo cup unayemzungumzia mkuu!
angalia mpira tena. this time mwangalie abuya tu.
kumbuka ni International player kama pacome, BOKA, yao, aziz.
angalia decision making yake.

he is not the quality of yanga.
 
Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
Mbona kwa hasira hivi mkuu...Hahah!
 
Mtu anaandika Kiingilishi anaonwa kaandika.

Yani mtu anatamani jana Yanga ashinde Chuma 4 hajaridhika na ushindi eti....

Halaf hajui kabisa kua Unavyomuona Pacome Leo anacheza Midfielder kocha mda wowote anaweza mbadili akasema leo kazi yako ni hiii na ukamuona siku hio hachezi vile unavyojua wewe kumbe kapewa maelekezo.

HERERRA aliwahi sifika kua ni mkabaji sana kupitia kumkaba HAZARD siku hio aliambiwa wewe usideal na mtu mwingine Deal na Hazard tu akienda kunywa maji kaa nyuma yake wengine achana nao...hapo utasemaje?

Tuelewe tu kua kila Match kocha anaingia na Falsafa tofauti unaweza Muona mchezaji unayemjua anachezaga hivi ila lwo hachezi vile ukaanza kulaumu kumbe ni maelekezo.

Mda Mwingine tujue Mifumo ya Mpira kua ina badilika game to game.
Mfano Inonga Vs mayele.
Inonga alionekanaga beki kisiki kisa kumkaba mayele.... badaae imebaki stori
 
trust me they are better
Ni ku trust vipi wakati nimeshawaona uwanjani? Niku trust wewe au ni trust nachoona uwanjani kuhusu uwezo wao? Sureboy na Farid ni wachezaji wa game ndogo ndogo
 
Kuna watu wengine mliletwa hapa duniani kwa lengo la kuwa walalamishi tu. Nothing more!
 
Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮

Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.

Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.

Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.

I hope gamondi works on this.

huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
Abuya ni bonge la mchezaji na majukumu yake aliyatimiza vile ilivyotakiwa
 
wewe ukocha ulisomea wapi?au umebanwa kuhara?
 
Mtu anaandika Kiingilishi anaonwa kaandika.

Yani mtu anatamani jana Yanga ashinde Chuma 4 hajaridhika na ushindi eti....

Halaf hajui kabisa kua Unavyomuona Pacome Leo anacheza Midfielder kocha mda wowote anaweza mbadili akasema leo kazi yako ni hiii na ukamuona siku hio hachezi vile unavyojua wewe kumbe kapewa maelekezo.

HERERRA aliwahi sifika kua ni mkabaji sana kupitia kumkaba HAZARD siku hio aliambiwa wewe usideal na mtu mwingine Deal na Hazard tu akienda kunywa maji kaa nyuma yake wengine achana nao...hapo utasemaje?

Tuelewe tu kua kila Match kocha anaingia na Falsafa tofauti unaweza Muona mchezaji unayemjua anachezaga hivi ila lwo hachezi vile ukaanza kulaumu kumbe ni maelekezo.

Mda Mwingine tujue Mifumo ya Mpira kua ina badilika game to game.
Nadhani una hoja nzuri za kumjibu mleta mada, ila zinajificha kwa kuwa unazichanganya na personal attacks dhidi ya mleta uzi
 
Huwezi kingereza,hujui Mpira unachezwa vipi..bila abuya na Max Jana Aucho na umri ule angekufa,Abuya anakwenda Mpira ulipo,max anaokota , anagawa upendo,Aucho anatuliza ball ,pasi fupi fupi..ku ditect temple ya mchezo.. wachezaji wa Simba Wana mwendo sana, kama tusingekua na viungo watatu,tungekufa Mapema

Abuya mchezaji mzuri Sana tatizo nililoona kwake ni kama kiungo wa Manchester united Maino,muda mwingi Hayupo katika eneo lake la msingi tukikutwa kwenye shambulizi la ghafla he's no where to be found..
 
Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
Wao Simba waendelee kutumia Maria Debooo Deboraaaaa.... Watuache na Abuya ...si kila timu imesajili Kwa mahitaji yake.... Tusipangiane ...
 
Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮

Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.

Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.

Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.

I hope gamondi works on this.

huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
Wewe jamaa nyuzi zako nyingi ni za kuivuruga Yanga, msimu uliopita ukakomaa na Gamondi afukuzwe mwisho wa siku ukaambulia patupu.
Safari umekuja na Abuya eti "it's time we bench him in big games. Halafu wasiojua mpira wenzio wakakusapoti.

Build up ya goli imefanywa na Abuya kwa zaidi ya asilimia 70.

* Mpira ulianza ulianza kwa kurushiwa Aucho kisha Aucho akampa Abuya (touch yake ya kwanza)

* Abuya akakokota mpira kwenda mbele kisha akampasia Boka, wakati huo huo *Abuya akaji position kuuomba tena mpira kutoka kwa Boka kisha Boka akampa tena (touch yake ya pili)

Baada ya kupewa mpira hakuwa na mambo mengi akaangalia mbele akamuona Pacome, akampa Pacome kisha akajiposition tena kuiomba, Pacome akampa tena Abuya ( touch yake ya tatu)

* Abuya akaisogeza tena kwa pembeni kumpasia Boka baada ya kumuona Boka anakimbia kwenye njia.

*Boka akampa Maxi, Abuya akasogea kwenye njia kuomba mpira kwa Maxi, kisha Maxi akampa tena Abuya ( touch yake ya nne)

* Abuya akamalizia kwa Pacome ambaye akapigana moja na mbili na Maxi kisha Maxi akamgongea Dube na Dube akamrejea Max na kuifanya Yanga itangulie goli moja.
Embu enjoy show ya Abuya hii hapa.
 
Attachments

  • w0iLxsSfm-I-lPcr.mp4
    1.7 MB
Back
Top Bottom