Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮
Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.
Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.
Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.
I hope gamondi works on this.
huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
Wewe jamaa nyuzi zako nyingi ni za kuivuruga Yanga, msimu uliopita ukakomaa na Gamondi afukuzwe mwisho wa siku ukaambulia patupu.
Safari umekuja na Abuya eti "it's time we bench him in big games. Halafu wasiojua mpira wenzio wakakusapoti.
Build up ya goli imefanywa na Abuya kwa zaidi ya asilimia 70.
* Mpira ulianza ulianza kwa kurushiwa Aucho kisha Aucho akampa Abuya (touch yake ya kwanza)
* Abuya akakokota mpira kwenda mbele kisha akampasia Boka, wakati huo huo *Abuya akaji position kuuomba tena mpira kutoka kwa Boka kisha Boka akampa tena (touch yake ya pili)
Baada ya kupewa mpira hakuwa na mambo mengi akaangalia mbele akamuona Pacome, akampa Pacome kisha akajiposition tena kuiomba, Pacome akampa tena Abuya ( touch yake ya tatu)
* Abuya akaisogeza tena kwa pembeni kumpasia Boka baada ya kumuona Boka anakimbia kwenye njia.
*Boka akampa Maxi, Abuya akasogea kwenye njia kuomba mpira kwa Maxi, kisha Maxi akampa tena Abuya ( touch yake ya nne)
* Abuya akamalizia kwa Pacome ambaye akapigana moja na mbili na Maxi kisha Maxi akamgongea Dube na Dube akamrejea Max na kuifanya Yanga itangulie goli moja.
Embu enjoy show ya Abuya hii hapa.