Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
Sasa wewe ndio umeneili kabisa... Achana na huyo punguani... Kuna siku alishawahi ponda kwamba Yanga hawana ubunifu wa jezi hivyo tutegemee jezi mbovu...

Ni kolo huyo mchambuzi uchwara
 
Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮

Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.

Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.

Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.

I hope gamondi works on this.

huu ndo ukweli. tusidanganyane wana yanga.
He is a weak piece in our team, his combination with Aucho is not working, they leave too much space between them and they are not playing horizontally to each other, that makes opponents to reach at our backline easily during transition, i noticed this since the game against red arrows. Gamond should resume that combination of Aucho and Mudathir before it's too late.
 
Wewe jamaa nyuzi zako nyingi ni za kuivuruga Yanga, msimu uliopita ukakomaa na Gamondi afukuzwe mwisho wa siku ukaambulia patupu.
Safari umekuja na Abuya eti "it's time we bench him in big games. Halafu wasiojua mpira wenzio wakakusapoti.

Build up ya goli imefanywa na Abuya kwa zaidi ya asilimia 70.

* Mpira ulianza ulianza kwa kurushiwa Aucho kisha Aucho akampa Abuya (touch yake ya kwanza)

* Abuya akakokota mpira kwenda mbele kisha akampasia Boka, wakati huo huo *Abuya akaji position kuuomba tena mpira kutoka kwa Boka kisha Boka akampa tena (touch yake ya pili)

Baada ya kupewa mpira hakuwa na mambo mengi akaangalia mbele akamuona Pacome, akampa Pacome kisha akajiposition tena kuiomba, Pacome akampa tena Abuya ( touch yake ya tatu)

* Abuya akaisogeza tena kwa pembeni kumpasia Boka baada ya kumuona Boka anakimbia kwenye njia.

*Boka akampa Maxi, Abuya akasogea kwenye njia kuomba mpira kwa Maxi, kisha Maxi akampa tena Abuya ( touch yake ya nne)

* Abuya akamalizia kwa Pacome ambaye akapigana moja na mbili na Maxi kisha Maxi akamgongea Dube na Dube akamrejea Max na kuifanya Yanga itangulie goli moja.
Ebu enyoy show ya Abuya hii hapa.
Safi sana
 
Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
MImi shabiki wa yanga lakini nakuliana na mtoa mada, Abuya bado hajaingia kwenye mfumo.

Game ya jana Gamondi akucheza ule mpira wake wa msako wa nyani ni kwa sababu alikua hajui anaenda kucheza na mpinzani wa aina gani.

Simba hii ni timu tofauti na mwaka jana, imebadilisha wachezaji wengi pamoja na kocha vile vile mechi zake zote amecheza indoor kasoro ile ya simba day tu kwaiyo Gamondi aliingia uwanjani akiwa hamjui mpinzani wake ikamlazimu awaambie wachezaji wake wacheze kwa tahadhari kwanza ili apate muda wa kumsoma mpinzani.

Benchi la ufundi simba walifanya homework yao vizuri, waliona kwenye mechi na red arrows combination ya aucho na abuya haijkaa sawa wanasimama mbalimbali sana na hawachezi katika horizontal line, kwaiyo mpango wao ulikua kufanya pressing ya haraka sana mara tu wanapopata mpira, mpango wao ulifanya kazi, simba walionekana na hatari dakika 30 za mwanzo kikwazo kilikua maamuzi yao ya mwisho pamoja na umaili wa job na baka pale nyuma.

Second half baada ya kuingia mudathir ikarudi yanga ile tunayoijua. Mudathir anatakiwa kuanza na aucho pale kati. Abuya bado hajajipata na anaingilia sana nafasi ya aziz ki pale kwenye shimo.
 
Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this.
he is a bad player who works hard 🚮

Abuya has small football brains. If you noticed, he can't predict the next great pass. I watched all the reviews, and I think it's time we bench him in big games.

Abuya is a defensive back pass midfielder. Yes, Aziz gets fewer balls because Abuya is in the midfield. They made Pacome go for a lot of forward movement unnecessarily because Abuya will delay the passes.

Abuya creates more instability in Yanga's midfield. It's a mistake to have him in big games.

I hope gamondi works on this.

huu ndo ukweli. tusidanganyane wana Yanga.
Watu wengine sijui mnautazama vp mpira!! Unaangalia mpira kama unaangalia tamthilia, jifunze kwanza mpira.
 
abuya is worse hana forward passes. awezi control the mid field. awezi toa pass za mwisho.

Ni kibu denis wa mid field

on the field ni headless chicken. sema watu don't concentrate on players. rewatch the match.

yanga players will complain about abuya soon or later
Halafu Una tabia ya ku impose your opinion kwa watu na unataka iwe fact... Ukiwa challenged unazodoa watu kuwa hawana elimu na broken zako. Humu kuna watu wanakuzidi ufahamu. Huwezi kutofautisha L na R na unawaambia watu kuhusu elimu.
 
"Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light" Unaikumbuka hii!!​

Huyu ni debe tupu. Wazungu husema 'The loudest is always the weakest' Ukifuatilia thread zake Zina utoto mwingi
 
Nimerudia kuangalia move ya lile goli naona mleta uzi umeamua kutuletea tu ujinga kwa lugha ya kigeni. Mpaka goli linafunga zilipigwa pasi 14 na kati ya hizo nadhani 75℅ zilipigwa na Abuya na Pacome wakiwa wanasonga mbele, kumuita back passer huyu mwamba ni kumkosea heshima na kutuchukulia poa Wananchi.
 
MImi shabiki wa yanga lakini nakuliana na mtoa mada, Abuya bado hajaingia kwenye mfumo.

Game ya jana Gamondi akucheza ule mpira wake wa msako wa nyani ni kwa sababu alikua hajui anaenda kucheza na mpinzani wa aina gani.

Simba hii ni timu tofauti na mwaka jana, imebadilisha wachezaji wengi pamoja na kocha vile vile mechi zake zote amecheza indoor kasoro ile ya simba day tu kwaiyo Gamondi aliingia uwanjani akiwa hamjui mpinzani wake ikamlazimu awaambie wachezaji wake wacheze kwa tahadhari kwanza ili apate muda wa kumsoma mpinzani.

Benchi la ufundi simba walifanya homework yao vizuri, waliona kwenye mechi na red arrows combination ya aucho na abuya haijkaa sawa wanasimama mbalimbali sana na hawachezi katika horizontal line, kwaiyo mpango wao ulikua kufanya pressing ya haraka sana mara tu wanapopata mpira, mpango wao ulifanya kazi, simba walionekana na hatari dakika 30 za mwanzo kikwazo kilikua maamuzi yao ya mwisho pamoja na umaili wa job na baka pale nyuma.

Second half baada ya kuingia mudathir ikarudi yanga ile tunayoijua. Mudathir anatakiwa kuanza na aucho pale kati. Abuya bado hajajipata na anaingilia sana nafasi ya aziz ki pale kwenye shimo.

Wewe jamaa na mleta uzi mnafanana akili za kutojua mpira yaani hoja yako umejichanganya sana na kama vile huelewi unachoongea.

1) unasema Abuya hajaingia kwenye mfumo na hapo hapo unakiri kuwa game plan ya Gamondi ilikuwa sio kucheza ule mpira wake kwavile hajamjua mpinzani, hapo nikuulize swali je kutokana na hilo unalosema je unajua Gamondi alimpa majukumu gani Abuya? Umeshasema Gamondi hakutaka kucheza mpira wake halafu unakuja kukosoa kiwango cha Abuya.

2) Mechi ya Yanga vs Red Arrows uliangalia mpira au ulisimuliwa? Kama uliangalia mpira, basi utaona kuna kitu ambacho kimeingia kwa Yanga katika msimu huu hasa wanapoenda kushambulia. Yanga inaenda kushambulia kwa kupasiana pasi za haraka sana wanapofika eneo la mbele la mpinzani na Abuya ndiye anayetumika katika utengenezaji wa shape ya kuli face lango la mpinzani. Mechi dhidi ya Red arrows zilipigwa gonga nyingi za haraka mpaka kufika kwenye 18 ya mpinzani lakini kipa alifanya kazi kubwa sana kuiweka lango salama. Abuya ndiye anayetumika kufungua lock za timu pinzani.

Mechi dhidi ya Simba, Abuya ndiye aliyehusika na kufungua lock ya Simba, baada ya kupata mpira kwa Aucho.

Rudi ukaangalie mpira vizuri kwanzia mechi ya red arrows na ya Simba angalia pindi Yanga wanavyoenda kushambulia, Abuya ndiye mchora ramani na Yanga wanaenda kwa pasi za haraka sana kama playstation.
 
Huwa sipendelei watu wanaanzaga na dhihaka za aina katika jambo la kueleweshana kistaarabu, ni ushamba kwa watu wastaarabu mzee mwenzangu, ungeelezea bila ya hii introduction bado ungeeleweka
1) unasema Abuya hajaingia kwenye mfumo na hapo hapo unakiri kuwa game plan ya Gamondi ilikuwa sio kucheza ule mpira wake kwavile hajamjua mpinzani, hapo nikuulize swali je kutokana na hilo unalosema je unajua Gamondi alimpa majukumu gani Abuya? Umeshasema Gamondi hakutaka kucheza mpira wake halafu unakuja kukosoa kiwango cha Abuya.

2) Mechi ya Yanga vs Red Arrows uliangalia mpira au ulisimuliwa? Kama uliangalia mpira, basi utaona kuna kitu ambacho kimeingia kwa Yanga katika msimu huu hasa wanapoenda kushambulia. Yanga inaenda kushambulia kwa kupasiana pasi za haraka sana wanapofika eneo la mbele la mpinzani na Abuya ndiye anayetumika katika utengenezaji wa shape ya kuli face lango la mpinzani. Mechi dhidi ya Red arrows zilipigwa gonga nyingi za haraka mpaka kufika kwenye 18 ya mpinzani lakini kipa alifanya kazi kubwa sana kuiweka lango salama. Abuya ndiye anayetumika kufungua lock za timu pinzani.

Mechi dhidi ya Simba, Abuya ndiye aliyehusika na kufungua lock ya Simba, baada ya kupata mpira kwa Aucho.

Rudi ukaangalie mpira vizuri kwanzia mechi ya red arrows na ya Simba angalia pindi Yanga wanavyoenda kushambulia, Abuya ndiye mchora ramani na Yanga wanaenda kwa pasi za haraka sana kama playstation.
Bado nasisistiza kwamba Abuya hajaingia kwenye mfumo, game zote mbili ambazo mudathir aliingia unaona kuna tatizo limelekebishika game na red arrows alifunga goli na game na simba alileta balance nzuri pale kwenye midfielder tukaanza kumuona aziz ki tunaemjua.
 
Tatizo lipi uliloliona ambalo lilirekebishwa na Mudathir?

Kufunga goli ni kitu kingine tunajadili kushindwa kutekeleza majukumu ndio weakness. Mechi ya Yanga dhidi ya Red arrows kipindi cha pili baada ya Mudathir kuingia unataka kusema Red Arrows walikuwa hawafiki golini kwa Yanga? Pamoja na kuwa pungufu ila walikuwa na hatari sana pindi wakipata mpira. Kipindi cha kwanza sijaona makosa ya Abuya kimfumo.

Mechi ya Simba unazungumzia Abuya aliyecheza na Debora vs Mudathir aliyecheza dhidi ya Ngoma huoni mabadiliko hapo unalinganisha vipi hapo?

Ndio maana nikasema ni majukumu yapi Abuya alishindwa kuyatekeleza?
Kushindwa kung'aa kwa Aziz hakutokana na Abuya, maana alivyokuwepo Abuya, Azizi alipata nafasi moja akachezewa faulo ndani ya 18 na alivyoingia Mudathir kapata nafasi moja na ikawa offside.
Kingine mjue kila mchezaji anapopangwa, kocha hutoa maelekezo ya aina ya uchezaji wa timu kutokana na mwenendo wa mechi.
 
Majukumu ya kulinda defensive line isipelekewe moto bado combination yake na Aucho haijakaa sawa, wakati Abuya yupo uwanjani red arrows na simba walikua wanapita kiirahisi sana pale kwenye midfielder. Kocha anamchezesha Abuya pale ni kwa sababu kuna mbinu anangalia kama zinaweza kufanya kazi lakini siku sio nyingi atarudi na ile partnership ya Aucho na Mudathir
 
Kwahiyo alivyoingia Mudathir, defense ya Yanga ilikuwa haifikiwi? Kuna kitu bado hujakielewa kwa Gamondi msimu huu. Gamondi kaondoka katika ile style ya msimu uliopita ya kukabia juu mwanzo mwisho (pressing) saivi timu inacheza kwa vipindi kuna muda inampa muda mpinzani possession kisha wao kucheza counter. Timu inajua ni muda gani ifanye pressing. Hata anavyoingia Mudathir ni hivyo hivyo kama unabisha basi ukatazame tena mpira uone kama alivyoingia Mudathir defense ya Yanga haiufikiwa na mashambulizi
 
Majukumu ya kulinda defensive line isipelekewe moto bado combination yake na Aucho haijakaa sawa, wakati Abuya yupo uwanjani red arrows na simba walikua wanapita kiirahisi sana pale kwenye midfielder. Kocha anamchezesha Abuya pale ni kwa sababu kuna mbinu anangalia kama zinaweza kufanya kazi lakini siku sio nyingi atarudi na ile partnership ya Aucho na Mudathir
Wakati nakusubiria unipe ushuhuda kuwa baada ya kuingia Mudathir alipoingia, mabeki hawakuwa wanafikiwa, nakuongezea na hili nadhani inaweza kusaidia kwa wengi kujua kutofautisha uchezaji wa Yanga ya msimu huu mpaka sasa kuna kitu tofauti. Gamondi msimu uliopita alikuwa anawachezesha wachezaji kwa kutumia nguvu nyingi sana uwanjani kwavile alikuwa anataka muda wote Yanga imiliki mpira. Yanga wakipokonywa mipira kila mchezo anageuka kuwa beki kupora mipira ili Yanga i retain possession. Ni mechi ya Mamelodi ndio Yanga walicheza katika style ya tofauti. Naona ile style ndio inayotaka kutumika msimu huu kwenye mechi ngumu.
IMG_20240810_145327.jpg
 
We jamaa nahisi utakua n mkenya na unaponda Abuya sababu ya UKABILA Ila sio Mambo ya soka...
Uzi ufungwe
 
Wakati nakusubiria unipe ushuhuda kuwa baada ya kuingia Mudathir alipoingia, mabeki hawakuwa wanafikiwa, nakuongezea na hili nadhani inaweza kusaidia kwa wengi kujua kutofautisha uchezaji wa Yanga ya msimu huu mpaka sasa kuna kitu tofauti. Gamondi msimu uliopita alikuwa anawachezesha wachezaji kwa kutumia nguvu nyingi sana uwanjani kwavile alikuwa anataka muda wote Yanga imiliki mpira. Yanga wakipokonywa mipira kila mchezo anageuka kuwa beki kupora mipira ili Yanga i retain possession. Ni mechi ya Mamelodi ndio Yanga walicheza katika style ya tofauti. Naona ile style ndio inayotaka kutumika msimu huu kwenye mechi ngumu.View attachment 3066106
Mkuu mimi binafsi naona combination ya Aucho na Mudathir ndio inaleta ufanisi pale kwenye midfielder. Hakuna aliemtukana mwenzake hakunan alievunja sheria kwaiyo tukubali kutokukubaliana.
 
Back
Top Bottom