comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kwa ulichoandika sijui kama unamjua huyo baba wa taifaHujui unachoongelea! Usalama wa kiongozi gani uko mashakani?
Baba wa Taifa alikuwa ame-limit msafara wake kwa magari matano, na hakuna kilichomtokea, pamoja na kwamba miaka ile, wazungu walikuwa wanamtafuta kwa udi na uvumba kumshughulikia. Ni ushamba, ujinga, ubinafsi wa viongozi kuwa na magari lundo, tena magari ya bei kubwa sana, na matumizi makubwa sana, huku wananchi wakilia njaa, na vitu vya msingi kama bima ya afya kwa watoto, umeme, maisha magumu na matatizo kibao! Afu eti unatetea???