Misururu ya magari kwenye misafara ya ziara za viongozi wetu ni ushamba wa kizamani sana!

Misururu ya magari kwenye misafara ya ziara za viongozi wetu ni ushamba wa kizamani sana!

Kwahiyo Kenya wakiruka kwenye mto na sisi turuke kwenye mto?
Mbona maCCM mnapenda kuhalalisha mambo mabaya yanayofanywa na jirani ila mazuri aaaaah
Kama kenya ni rolemodel wetu basi tuache kuzuia maandamano ya amani ya gen z wa tanzania ,tukubaliane hapo kwanza
 
Ukiyasikia Machadema yanavyolalamika kuhusu misafara ya Viongozi wa Kuu wa Kitaifa hapa Tanzania unaweza dhani Tanzania tunafanyia kitu Cha ajabu sana.

Kwa misafara huu wa Waziri wa Michezo wa Kenya ingekuwa ni Tanzania wangemwaga mapovu ya kujaza bwawa la Mindu 😂😂👇👇

View: https://youtu.be/WJGc-WBUPRk?si=xpfSdT6Nxq6EtlPi

KENYA WAKIUNGA MKONO MASHOGA NANYI TANZANIA MNAIGA? KENYA NDO KIOO CHENU NYIE CCM MLIOZALIWA 2000S? NI AIBU SANA.
 
Ukiyasikia Machadema yanavyolalamika kuhusu misafara ya Viongozi wa Kuu wa Kitaifa hapa Tanzania unaweza dhani Tanzania tunafanyia kitu Cha ajabu sana.

Kwa misafara huu wa Waziri wa Michezo wa Kenya ingekuwa ni Tanzania wangemwaga mapovu ya kujaza bwawa la Mindu 😂😂👇👇

View: https://youtu.be/WJGc-WBUPRk?si=xpfSdT6Nxq6EtlPi

Mtu mweusi daima atabaki kuwa mtu mweusi tu, hata kama atakuwepo barani Ulaya au Marekani bado tabia zake zitaendelea kubaki kuwa zile zile. Ni Watu weusi wachache sana hapa duniani ambao wamebahatika kuwa na exceptions kwenye suala hili, and it's a rare cases.
 
View attachment 2903613
Kuna vitu ukiviona bado vinafanywa na viongozi wa kiafrika katika karne hii unabakia kucheka na kuwaza kuwa kumbe viongozi wa kiafrika bado wana akili za kitoto mnoo.

Moja ya vitu vya kipuuzi kabisa ni msururu wa msafara wa magari ya kifahari kwenye ziara za viongozi duni wa nchi za kiafrika (Tanzania ikiwa ni mfano mzuri). Mambo ambayo yalipaswa kufanywa karne iliyopita wakati watu wakiwa harusini, eti ndio trend fashion ya viongozi wa kiafrika wa sasa.

Mbwembe hizo na ufahari hazina faida yoyote, zinawaudhi mnoo raia wa kawaida wanaokuwa busy na maisha yao na wala hawana time na hizo takataka.

Misafara hiyo hufunga barabara kwa muda, huacha vumbi la hatari vijijini, hupelekea matukio ya ajali nk. Utasikia viongozi wakisema eti wako busy kwenda kusikiliza kero, kuzindua ujenzi wa vyoo vya shule vilivojengwa kwa pesa za misaada ya wazungu, kukagua mradi wa bomba la maji la kijiji, kukata utepe ili kuzindua kivuko cha miguu cha kijiji

Inatia kinyaa mnoo.
Hata tukuu twa mikoana wilaya eti tuna misafara!....poor Tanazania
 
Hayo ndio maonesho ya mtu mweusi. Pamoja na changamoto kibao za kijamii hakuna hatua zozote za kuzuia matumizi yasiyo ya lazima ili kutatua changamoto hizo.
 
Back
Top Bottom