Misururu ya magari kwenye misafara ya ziara za viongozi wetu ni ushamba wa kizamani sana!

Kwa ulichoandika sijui kama unamjua huyo baba wa taifa
 
Wakienda ulaya wanaona aibu maana misafara hata gari 5 haifiki
Unamkumbuka waziri mkuu wa Sweden(?) aliyekutana na mnaijeria(?) akitembea kwenda kazini?

Viongozi wa huku, eti usalama! Labda waogope wale wanaoshea nao wapenzi!
 
mashaka ni yako pekeyako πŸ’

unaanza kumzungumzia kingozi na aina ya uongozi wake tena 🀣

unasahau kila zama na kitabu chake πŸ’

ushamba utabaki nao wewe tu but waliokabidhiwa dhamana ya usalama wa viongozi wa kitaifa hawatacheka na kima wala kubabaika na wenye mindset za kuiga kama zako πŸ’
Acha uvivu, Fanya kazi kwa bidii uishi maisha mazuri....

kutwa kulalama umeme hamna kwenu na upo online 24/7🀣

Politics is all about interests not as your wishes πŸ’

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Magazine madogo yangekuwa machache wengine wangepanda bus maalum.
 
Kuna aliyewahi kuwa raisi wa uruguay anaitwa Jose Mujica
Huyu kiongozi hakuwa na mambo.mengi kabisa.

Hawa maviongozi wanaolindwa na walinzi wengi sio bure kuna kitu wanafanya hakipo sawa ndio maana wanajihami kama hivyo.
 
Kwahiyo Kenya wakiruka kwenye mto na sisi turuke kwenye mto?
Mbona maCCM mnapenda kuhalalisha mambo mabaya yanayofanywa na jirani ila mazuri aaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…