kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Kama kenya ni rolemodel wetu basi tuache kuzuia maandamano ya amani ya gen z wa tanzania ,tukubaliane hapo kwanzaKwahiyo Kenya wakiruka kwenye mto na sisi turuke kwenye mto?
Mbona maCCM mnapenda kuhalalisha mambo mabaya yanayofanywa na jirani ila mazuri aaaaah
Ujinga upi?Kwahiyo ujinga ukifanyika Kenya ni sawa pia ukifanyika Tanzania.
Fact ndio zinapaswa kuangaliwa si vinginevyo.
Uko sahihi mkuu maana benchmark ya mjinga ni ujinga zaidi.Ukiyasikia Machadema yanavyolalamika kuhusu misafara ya Viongozi wa Kuu wa Kitaifa hapa Tanzania unaweza dhani Tanzania tunafanyia kitu Cha ajabu sana.
Kwa misafara huu wa Waziri wa Michezo wa Kenya ingekuwa ni Tanzania wangemwaga mapovu ya kujaza bwawa la Mindu ππππ
View: https://youtu.be/WJGc-WBUPRk?si=xpfSdT6Nxq6EtlPi
Ujinga gani?Uko sahihi mkuu maana benchmark ya mjinga ni ujinga zaidi.
Ndyo unatuambia kuwa CCM huu ujinga mumeiga toka Kenya ?Ukiyasikia Machadema yanavyolalamika kuhusu misafara ya Viongozi wa Kuu wa Kitaifa hapa Tanzania unaweza dhani Tanzania tunafanyia kitu Cha ajabu sana.
Kwa misafara huu wa Waziri wa Michezo wa Kenya ingekuwa ni Tanzania wangemwaga mapovu ya kujaza bwawa la Mindu ππππ
View: https://youtu.be/WJGc-WBUPRk?si=xpfSdT6Nxq6EtlPi
Ujinga gani? Ndio manaa mnazabwa makofi na polisiNdyo unatuambia kuwa CCM huu ujinga mumeiga toka Kenya ?
KENYA WAKIUNGA MKONO MASHOGA NANYI TANZANIA MNAIGA? KENYA NDO KIOO CHENU NYIE CCM MLIOZALIWA 2000S? NI AIBU SANA.Ukiyasikia Machadema yanavyolalamika kuhusu misafara ya Viongozi wa Kuu wa Kitaifa hapa Tanzania unaweza dhani Tanzania tunafanyia kitu Cha ajabu sana.
Kwa misafara huu wa Waziri wa Michezo wa Kenya ingekuwa ni Tanzania wangemwaga mapovu ya kujaza bwawa la Mindu ππππ
View: https://youtu.be/WJGc-WBUPRk?si=xpfSdT6Nxq6EtlPi
Unazidi kudhihirisha upumbavu wako.Ujinga gani? Ndio manaa mnazabwa makofi na polisi
Upumbavu gani? Ukicharazwa virungu utalalamika?Unazidi kudhihirisha upumbavu wako.
Kioo chenu ni kipi? Tanzania ni kisiwa?KENYA WAKIUNGA MKONO MASHOGA NANYI TANZANIA MNAIGA? KENYA NDO KIOO CHENU NYIE CCM MLIOZALIWA 2000S? NI AIBU SANA.
Mtu mweusi daima atabaki kuwa mtu mweusi tu, hata kama atakuwepo barani Ulaya au Marekani bado tabia zake zitaendelea kubaki kuwa zile zile. Ni Watu weusi wachache sana hapa duniani ambao wamebahatika kuwa na exceptions kwenye suala hili, and it's a rare cases.Ukiyasikia Machadema yanavyolalamika kuhusu misafara ya Viongozi wa Kuu wa Kitaifa hapa Tanzania unaweza dhani Tanzania tunafanyia kitu Cha ajabu sana.
Kwa misafara huu wa Waziri wa Michezo wa Kenya ingekuwa ni Tanzania wangemwaga mapovu ya kujaza bwawa la Mindu ππππ
View: https://youtu.be/WJGc-WBUPRk?si=xpfSdT6Nxq6EtlPi
Hizo sio gari za serikali.Ukiyasikia Machadema yanavyolalamika kuhusu misafara ya Viongozi wa Kuu wa Kitaifa hapa Tanzania unaweza dhani Tanzania tunafanyia kitu Cha ajabu sana.
Kwa misafara huu wa Waziri wa Michezo wa Kenya ingekuwa ni Tanzania wangemwaga mapovu ya kujaza bwawa la Mindu ππππ
View: https://youtu.be/WJGc-WBUPRk?si=xpfSdT6Nxq6EtlPi
Akili za β¬hupi!Ushamba kama ulioonyesha wewe kwenye harusi yako halafu ndoa ikavunjika baada ya wiki
Hata tukuu twa mikoana wilaya eti tuna misafara!....poor TanazaniaView attachment 2903613
Kuna vitu ukiviona bado vinafanywa na viongozi wa kiafrika katika karne hii unabakia kucheka na kuwaza kuwa kumbe viongozi wa kiafrika bado wana akili za kitoto mnoo.
Moja ya vitu vya kipuuzi kabisa ni msururu wa msafara wa magari ya kifahari kwenye ziara za viongozi duni wa nchi za kiafrika (Tanzania ikiwa ni mfano mzuri). Mambo ambayo yalipaswa kufanywa karne iliyopita wakati watu wakiwa harusini, eti ndio trend fashion ya viongozi wa kiafrika wa sasa.
Mbwembe hizo na ufahari hazina faida yoyote, zinawaudhi mnoo raia wa kawaida wanaokuwa busy na maisha yao na wala hawana time na hizo takataka.
Misafara hiyo hufunga barabara kwa muda, huacha vumbi la hatari vijijini, hupelekea matukio ya ajali nk. Utasikia viongozi wakisema eti wako busy kwenda kusikiliza kero, kuzindua ujenzi wa vyoo vya shule vilivojengwa kwa pesa za misaada ya wazungu, kukagua mradi wa bomba la maji la kijiji, kukata utepe ili kuzindua kivuko cha miguu cha kijiji
Inatia kinyaa mnoo.