GharamaHili waliangalie upya kwenye nyumba za kupanga. Kuletwe sub meters ziwe zinasoma matumizi ya kila mmoja.
Mapato yakiongezeka watumishi wanapewa bonusHivi wanavyotoa bill kubwa wakati hawanufaiki na chochote inawasaidia nini?
Gharama kivipi wakati kila mtu anapaswa kulipa kwa kadri anavyotumiaGharama
Litasaidia pia kuepusha visasi. Kuna jamaa wa idara ya maji tulishwahi kuzinguana naye home, atatubandika bill ya laki 6 na maji yakafungwa eti anasema alikuta tumeweka karatasi ndani ya mita, haizunguki.Hili ndilo litakuwa mwarobaini wa tatizo la kubambikiana Bills! Unatumia maji ya 3000 unapewa bill ya 12000
Hiyo labda uombe kuunganishiwa kama mteja mpyaGharama kivipi wakati kila mtu anapaswa kulipa kwa kadri anavyotumia
Aliwakomesha kinomaLitasaidia pia kuepusha visasi. Kuna jamaa wa idara ya maji tulishwahi kuzinguana naye home, atatubandika bill ya laki 6 eti na maji yakafungwa eti anasema alikuta tumeweka karatasi ndani ya mita, haizunguki.
Eeh bora hivyo sasa kuliko postpaid za kijambazi! Unapewa billi ya jirani wako mwenye bill kubwa ndio mnapewa wote mnaomzunguka kisha mkienda complain mnaprintiwa karatasi tu!hiii si kama lukuu tu mkuuu ukiweka maji y buku tatu yakiisha una ji lock hayatoki tena
Wanapewa monthly targets (malengo) hivyo kuyafikia wanalazimisha kwa kubambikia wananchi akara za maji.Hivi wanavyotoa bill kubwa wakati hawanufaiki na chochote inawasaidia nini?
Kwani Tanesco walipokuwa wanabadili kutoka Mita za Kusoma kwenye LUKU walikulipisha?Wanafunga bure..!??
Mbona rahisi mno unachepusha bomba unafungiwa yakoHili waliangalie upya kwenye nyumba za kupanga. Kuletwe sub meters ziwe zinasoma matumizi ya kila mmoja.