Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiii si kama lukuu tu mkuuu ukiweka maji y buku tatu yakiisha una ji lock hayatoki tena
😂😂😂Lipa Maji Kadiri Unavyotumia
LIMKU
Wizara ya Maji mnitoe mkianza kutumia hili jina.
Acha ujinga wewe utopoloLipa Maji Kadiri Unavyotumia
LIMKU
Wizara ya Maji mnitoe mkianza kutumia hili jina.
Hii ni nzuri sana itapunguza matatizo ya bill fake kwa kiasi kikubwa. Pia itasaidia kupanga bajeti vizuri ya maji kwa familia.
Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanzia mwezi Julai inatarajia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla[PRE PAID WATER METERS] ambazo zitakuwa na mfumo wa King’amuzi unaweza ukanunua ukiwa sehemu yoyote duniani
Katibu mkuu Wizara ya Maji mhandisi Antony Sanga amesema utofauti wa mita hizo na mita zingine ni kuwa unaweza ukamgawia jirani uniti za maji kama unavyohamisha salio kwenye simu na akaendelea kupata huduma, vilevile kama unahama nyumba uliyokua ukiishi na kuna uniti zako zimebaki kwenye mita unaweza ukahama nazo pia.
Itapunguza gharama za uendeshaji.Ajira kwa wasoma mita nayo inaishia hapo
Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanzia mwezi Julai inatarajia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla[PRE PAID WATER METERS] ambazo zitakuwa na mfumo wa King’amuzi unaweza ukanunua ukiwa sehemu yoyote duniani
Katibu mkuu Wizara ya Maji mhandisi Antony Sanga amesema utofauti wa mita hizo na mita zingine ni kuwa unaweza ukamgawia jirani uniti za maji kama unavyohamisha salio kwenye simu na akaendelea kupata huduma, vilevile kama unahama nyumba uliyokua ukiishi na kuna uniti zako zimebaki kwenye mita unaweza ukahama nazo pia.
Cha bure ni salamu tuWanafunga bure..!??
inashangaza sana wanabambikiza bills kubwa wakati bills zenyewe zinalipwa kwa control number manake wao hawanufaiki na chchte labda kama maboss wamewatuma kuwaibia wananchi lakini bills za maji now days ni kichomi tuHili ndilo litakuwa mwarobaini wa tatizo la kubambikiana Bills! Unatumia maji ya 3000 unapewa bill ya 12000.
Hii itakuwa poa sana, yaani sana tu. Mimi binafsi nimeibiwa sana kwa kubambikizwa bill kubwa za maji na hawa wasoma mita. Pia hizi mita za zamani mafundi wa Idara ya maji wamekuwa wakizichezea na kuzilegeza kabla ya kuja kukufungia nyumbani kwako ili tu zisome units nyingi.
Serikali kupitia Wizara ya Maji kuanzia mwezi Julai inatarajia kuanza kufunga mita za maji za malipo ya kabla[PRE PAID WATER METERS] ambazo zitakuwa na mfumo wa King’amuzi unaweza ukanunua ukiwa sehemu yoyote duniani
Katibu mkuu Wizara ya Maji mhandisi Antony Sanga amesema utofauti wa mita hizo na mita zingine ni kuwa unaweza ukamgawia jirani uniti za maji kama unavyohamisha salio kwenye simu na akaendelea kupata huduma, vilevile kama unahama nyumba uliyokua ukiishi na kuna uniti zako zimebaki kwenye mita unaweza ukahama nazo pia.
Utapewa uhujumu uchumiWabongo [emoji28]
Kama nawaona watakavyotoboa mabomba
Utopolo babako. Umeniharibia sana siku yangu mapema sana kuniita utopolo.Acha ujinga wewe utopolo
Narudia tena wewe ni utopoloUtopolo babako. Umeniharibia sana siku yangu mapema sana kuniita utopolo.