Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Still ni maghorofa na ni mazuri kulinganisha na nyumba nyingi Dar.
The point is, Dar imechanganyika sana. Tanzania nzima ipo hivyo.
Miji mingi ina squatters hata sehemu zilizotakiwa kuwa low density. Hiyo ipo wazi.
Hivi mtu akisema low density na high density land inamaanisha nini?
 
Napakubali Goba na Madale

Hahahaa,, Kama unapataja Goba basi ni wazi bado hujalizunguka jiji la Dar la vyakutosha

Goba ni nyumba mpya mpya ila za kawaida na kikubwa zaidi sehemu kubwa ya hiki kitongoji hapajapimwa ( surveyed), kitongoji hakijapangika pamekaa kiholela ( squatter)
 
Yes kabisa goba haoajawa surveyed sijui why wamepa thaminisha sana vile

Nyumba mpya za kisasa zimejengwa jengwa tu kiholela soon pakijaa kule patakuwa new modern uswazi
 
Pamoja na yote hayo muwe madoniyeni au muwe machakicheni ( sisi tunaoisha mbagala tunasema hivi) bado tz yetu ipo kwa ulimwengu wa 3
 
Miaka ya nyuma watu walikuwa wanahamasishwa na Urafiki Jazz Band waende Gezaulole,Kibugumo na Mwanadilato wakalime badala ya kumangamanga mjini.

Leo hii Geza inatajwa kuwa makazi ya mataita!😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…