Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Aisee kweli ni peramiho nilichanganya

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa peramiho kuna ushua gan? Kule saivi yako makao makuu ya wilaya SONGEA DC, kule sana parokiani, hospital, shule ya secondary maposeni, na chuo cha Afya. .
Washua wako town.
 
Mbamba bay je

la kuongezea peramiho ni mbali sana na mjini... ila wanachoma sana kitimoto peramiho.... hahahaha
 
BULKA NDO HABARI YA TOWN
Bulka ndiyo wapi huko? Ni huku airport? Hapo kwenye viwanja vipya? Hili ndiyo tatizo kubwa la watu wa arusha!! Ujuaji wa kijinga,sasa maeneo yenyewe ndiyo yamegawiwa juzi juzi tu hapo,watu ndiyo wanaanza kujenga mmoja mmoja,nyumba hazijafika hata kumi mtu tayari anapaita "habari ya mjini" mwambie akutajie ma don wawili anaowajua wanaoishi huko hana hata mmoja, analazimisha naye aonekane amejua kitu kipya!!! Iko hivi,kwa arusha Njiro bado ndiyo eneo bora la makazi kwa wenye vipato vya kati na juu, kwa huko mbeleni sijui ila kwa sasa njiro ndiyo inaongoza ligi, kwanza njiro ni kubwa,imeunganisha kata za Lemara,muriet,kijenge(mwanama) Themi, hadi mkonoo,hiyo burka ni kiji plot kimoja cha shamba la kahawa la burka estate,watu ishirini wakijenga hapo panajaa full
 
la kuongezea peramiho ni mbali sana na mjini... ila wanachoma sana kitimoto peramiho.... hahahaha
Heeeh kwa songea kitimoto kinachomwa sana peramiho na matimira. Yaan huko n hatareeeeh tupu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Dar kuna sehemu nyingi.
Sema huwa zimezungukwa na uswazi, kwa sababu kwa asili dar imechanganyika sana ukiondoa sehemu ambazo viongozi wa serikali huishi.
Toangoma ipo ya ushuani na ipo ya uswazi, kijichi ipo ya ushuani pia, mjimwema, etc....
huo ndio ukweli wa Dar, mji umechanganyika, ukifika makongo, kuna mitaa ni ushuani kabisa, goba pia kuna maeneo ni ushuani, madale hivyohivyo pia mivumoni, ila pia maeneo ya karibu na maeneo hayo wapo watu wa maisha ya kawaida.
 
Kwa Dar kuna sehemu nyingi.
Sema huwa zimezungukwa na uswazi, kwa sababu kwa asili dar imechanganyika sana ukiondoa sehemu ambazo viongozi wa serikali huishi.
Toangoma ipo ya ushuani na ipo ya uswazi, kijichi ipo ya ushuani pia, mjimwema, etc....
Upanga vipi mkuu
 
Back
Top Bottom