Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Daah mwanangu chanji hyo? Labda kwa sababu cjafika huko takribani miaka mi4, ila ni uswaz mbayaa
chanji walevi tu kule kdg baada ya kuweka lami naona pamevutia vutia ila sio kwa madoni kule kwa walevi tu.
 
Hivi mkuu kwa DODOMA.
Kuna uzunguni kilimani kule.
Kuna kisasa mwisho .
Kuna image hapa juu huku inapopita reli njoo ushuhudie.
Kuna Irazo aseeh bab kubwa huko
 
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni na nyamkazi
MBEYA ni Forest Mpya na isyesye
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
Mwanza Isamilo umeiachaje ? Kiseke hakuna kitu bora Nyegezi majengo mapya.
 
KAHAMA - Masaki, Mbulu

Zamani kidogo ilikua Nyahanga, ikaja kuwa sehemu fulani ya Nyasubi (huku ni wafanyabiashara zaidi), sikuhizi ndo naskia huko Masaki (Kati ya vilivyokua vijiji vya Mwamva na Sofi)
 
Unadhan kutoka songea had mbamba bay n umbali gan? Au naul kias gan? Na kinachonpeleka huko kipi?
Hebu waza bas vizuri.
Mzaliwa inabidi uumalize mkoa wako kabla hujaamia mikoa ya wenzako
 
Mangowela na Chuno kuna wakishua gani mkuu?
Au kila mkoa una standard zake za ukishua?
Ndio maana yake unataka ufananishe wa kishua wa dar au arusha na wa tabira au mtwara?? /!
 
Huu ndio uzi wa kujifunza wapi ukanunue eneo la kujenga
 
Back
Top Bottom