Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Mangowela na Chuno kuna wakishua gani mkuu.?
Au kila mkoa una standard zake za ukishua.?
Ule ukanda wa Shangani ya Magharibi kwa waliokulia Mtwara watakumbuka haikuwepo. Kulikua na Shangani tu na ilianzia Bandarini na shule ya Msingi Shangani, Ndanda ndogo hadi kulekea iliko Mess. Kwa sasa Shangani West ambayo iko vizuri inagusa Chuno, mtaa mmoja mbele ya Indian quarters ambao ni amazing, hata sijui wanauitaje siku hizi na Shangani yenyewe na ukanda unaonzia Mangoela. Hayo maeneo yalikua mashamba ya Mtama enzi hizo na sasa ni part ya Shangan West.
Kumbuka chuno ilikua ni Kijiji cha Kiyanga, ambacho kwa sasa ni mji mtupu
 
Kwa Dar kuna sehemu nyingi.
Sema huwa zimezungukwa na uswazi, kwa sababu kwa asili dar imechanganyika sana ukiondoa sehemu ambazo viongozi wa serikali huishi.
Toangoma ipo ya ushuani na ipo ya uswazi, kijichi ipo ya ushuani pia, mjimwema, etc....
 
Arusha kwa sasa ni Burka mzee..... Njiro imepitwa na wakati...
Kule burka estate kuna mijengo ya kufa mpangilio na barabara zilizonyooka ingawa si za lami kama huu
IMG_20201115_155514_265.jpg
IMG_20201126_165853_694.jpg


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom