Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Kwa Dar ongezea Kibada iliyopo Kigamboni na Gezaulole kwa mbaaali inafuata,,, na laiti kama JK angejiongezea muda madarakani basi maeneo haya na mengineyo ya Kigamboni yangekuwa ni UNTOUCHABLE
hakuna tajiri wa maana anaishi huko kigamboni ni shambani wanakuja kupumzika weekend tu
 
Kwa Dodoma hapo Nkuhungu nakataa kabisa, Kule Kigamboni kwa Dar kuna Geza, Kibada na Toangoma
 
Hiyo ni ndiyo ile mitaa ya Wasio ombana chumvi....Kila mtu ako na geti lake.
 
Back
Top Bottom