Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, mitaa ya Beijing imeanza kuwa na mazingira ya shamrashamra kwa michezo hiyo. Kazi mbalimbali za maandalizi ya viwanja vya michezo, utoaji wa huduma, utangazaji n.k zote zimemalizika.