KERO Mitaa ya Mbagala Kuu tuna kero ya takataka, ni zaidi ya miezi mitatu hakuna gari la taka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
524
Reaction score
829
Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya.

Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala Kuu, Kituo kipya (Mbagala Kuu na mitaa yake).



​
 
Mkunguni, bonde la uponyaji, kujia mpaka kichemchem huku kwemda Njia ya ng"ombe, Neluka mpaka msende sema. Serikal ya mtaa mpaka Mgeninani. Uwanja wa Mbaraka
 
Nani anawajibika na takataka na sheria inasemaje asipokusanya, solution ianzie hapo
 
Bado hawajalitatua hilo tatizo lenu mpaka leo, leta maelezo taarifa zifike kwa Mkurugenzi haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…