Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Wazee wanasema Simba na Yanga hazijawahi kuwa imara kwa wakati mmoja
Mwendazake alikuwa simba kutokana na kassim na kijana wake paul aka bashite. Mama ni mwananchi haswa, huku genge la jk ni Yanga kindakindaki, kwahiyo simba ihesabu maumivu mpaka awamu hii iishe.
 
Mwendazake alikuwa simba kutokana na kassim na kijana wake paul aka bashite. Mama ni mwananchi haswa, huku genge la jk ni Yanga kindakindaki, kwahiyo simba ihesabu maumivu mpaka awamu hii iishe.
Mkuu Samia na watu wake wanacheza namba ngapi?
 
Team za tanzania ususani hiz mbili haziwezi kwenda sababu wanapenda kumtegemea mtu mmoja, leo mo anasusa watu wanaanza kutapa tapa kama team ingekua inajitegemea kama team wala watu wasinge msujudia mwamedi...tz bado sana
 
Tatizo la hizi team ni zaidi ya mpira japo zimekaa kisiasa ila lengo ni Watanzania waache kujadili mambo ya msingi yahusuyo maisha yao na serikali yao wajadili Simba na Yanga na hilo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa ndio maana kwenye vijiwe vingi vya kahawa mada zao nyingi ni Simba na Yanga yaani hali si shwari.
Ni akili zetu tu watanzania mbona hivi vilabu vikiwaga vimepoa mfano (ligi zikiisha au kama kipindi mpira umesimama) tunatafutaga mautumbo mengine ya kujadili?
 
Ni sahihi huwezi shindana na rais wa nchi mwenye mamlaka ya kila kitu ,yeye hutoa order tu.
Gsm ni Zaid ya tunavyoijua .
Huyo mnayemwita boss ni chawa tu,Ila mmiliki wa gsm yupo amekaa pembeni anatucheki tu.

Mo sio fala anajua michezo yote inayochezwa na upande wa pili na anajua akina Nan anapambana nao ,ndio maana kaamua kuwakwepa kidizain maana anajua fika hawez pambana na mamlaka ,mziki wa mamlaka ni mnene unaweza haribu Hadi biashara za familia.

Familia kwanza ,mpira baadae.
Thread Closed.
 
Huwajui wahindi wewe.Waulize Singida walivyoachwa Solemba
Singida hakuwa na fan base. Simba ina mtaji mkubwa wa Mashabiki. Ndio maana ni kichekesho kikubwa Simba au Yanga kuwa masikini. Ni aibu. Kwani karibia nchi nzima ni Simba au Yanga.
 
Sasa tofauti na Simba Na Yanga ni nini!? Leo akiondoka GSM, nitajie option watakayobaki nayo Yanga kuendesha timu.
Wakati yupo Manji ulimsikia GSM? Wawekezeji wapo mkuu.
 
Unataka kusema Msimbazi hakuna shida kiutawala?
Tatizo ni lipi kiuongozi. Tujulishe tusiojua na ulete source ya kuaminika.Au unataka tuamini tu udaku.Sababu za Barbara kujiuzulu kazianisha .Au kujiuzulu mtu na kutafuta changamoto zingine ni tatizo?Alipojiuzulu CEO wa kwanza kulikuwa na tatizo la uongozi au alipata dili lingine Yanga?
 
Hasara roho

Najiuliza hizo timu mnazoshabikia za Ajax, Liverpool, Barcelona nk.... huwa mnaingiaga kwenye mikutano yao ya maamzi?

Unamiliki Timu Tanzania mpaka unaumwa ukifungwa. Je uliwekeza shs ngapi kununua hisa?

Wabongo acheni upuuzi wa kujifanya mnamiliki simba au yanga kupitia kadi zenu za uanachama.

Soka haliwezi kukua kwa akili za kijinga kama hizi
Tena hata hapo umeongeza sifa wengi wa wanaoongea sana hata kadi hawana
 
Back
Top Bottom