KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
- Thread starter
- #161
Unataka kusema Msimbazi hakuna shida kiutawala?Ndio tatizo la wabongo kuamini udaku na vi blog feki.
Eti timu atauuziwa Mchina huku inajulikana wazi timu hizi huwezi kuwa na hisa za kuimiliki kama sio mtanzania.
Halafu hao makanjanja wanaoleta hii habari hawana source ya maana bali uzushi na ramli chonganishi.Na hata hawaulizwi.Inashangaza na kuogopesha tumekubali kuwa hivi.