Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye Akili azingatie haya Maneno yenye Hekima !!Hasara roho
Najiuliza hizo timu mnazoshabikia za Ajax, Liverpool, Barcelona nk.... huwa mnaingiaga kwenye mikutano yao ya maamzi?
Unamiliki Timu Tanzania mpaka unaumwa ukifungwa. Je uliwekeza shs ngapi kununua hisa?
Wabongo acheni upuuzi wa kujifanya mnamiliki simba au yanga kupitia kadi zenu za uanachama.
Soka haliwezi kukua kwa akili za kijinga kama hizi
Kenge huwa hasikii hadi aone damu inatoka masikioni.Kigwangala alipokuwa anahoji mlimkashifu na kumuona lopolopo fulani!!, Tuliwaambia hapa hakuna tajiri akawa na mapenzi na timu nje ya kutaka kunufaika mwenyewe. Mkawa mnasema Mohamedi ni Simba damu anajitolea 😅😅, haya Sasa nendeni mkapmpigie magoti kigwangala!!.
Kweli kabisa ! Wabongo ni hodari wa maneno maneno tu lakini vitendo ni sufur bin sufur = zero !!Huwa najiuliza. Hakuna wana Simba elfu kumi Tanzania kila mmoja kuchangia TZS 100,000 kwa mwaka ikapatikana bilioni moja?
Labda hiyo haitoshi.
Je, hakuna wapenda Simba laki moja tuka changia kila mmoja laki moja kwa mwaka ikapatikana bilioni 10.
Au hatupo wapenda Simba milioni 1 tukachangia kwa michango au kuwekeza TZS 100,000 katika hisa ikapatikana 1,000,000*100,000 yaani TZS 100,000,000,000?
Na kama ni ngumu sababu za tabia zetu kushindwa usimamizi na janjajanja nyingi, mbona tunataka wengine ndio wawekeze na kuhoji kwingi ilhali hata 500 hatutoi?
Hizi klabu zetu zitakuwa na mafanikio ya misimu tu.
Klabu pekee ikiamua kufanya kweli na ikafanikiwa ni Azam FC peke yake. Hao wengine ni kama mihemko ya uchaguzi tu.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Muda ni mwalimu mzuriSimba aiwezi pitisha bakuli kama jamaa wale eti Simba Leo iwe kama mlimani fc hapana izo za mlimani fc za kupitisha bakuli wale jamaa ndio yaliwakuta Simba ilishapita na ukata lakini aikufika level ya mlimani fc kupitisha bakuli la kubwa kuliko no no Mambo ya mlimani fc kule ndio wanaweza.
Kumbe huu uzi unahusu Yanga haya kaza fuvu sasaIla yanga na sport pesa sio maigizo?
Kuna wachina wanatakaMudi anazingua sana, ni bora asepe tu.! Mpira wa bongo una nguvu saivi, atapatikana mwekezaji mwingine wa maana na maisha yataendelea.!
Ndio tatizo la wabongo kuamini udaku na vi blog feki.Kuna wachina wanataka
Ha ha haIgeni walichofanya yanga... Ikiwezekana boresheni..
Ha ha ha kwahiyo anasepa 20b zake?Sio tu anaondoka bure atashinikiza apewe zile billion 20
Pesa za MBET ni za kulipwa kwa awamu, usikute hizi pesa zinazama kwa wajanja, wameipeleka timu ktk mikataba mingi kisha sasa hivi wanasepa.Simba wanamkata na Mbet wa 26B, hizi ni pesa nyingi kuendesha timu!! Hofu je ni kweli hizo pesa zipo au ndio ilikuwa janjajanja yakuonesha Simba imepanda thamani au lah!!. Wacha iendeleee kunyesha....
Ndio tatizo la wabongo kuamini udaku na vi blog feki Eti mo anataka kuuza hisaNdio tatizo la wabongo kuamini udaku na vi blog feki.
Eti timu atauuziwa Mchina huku inajulikana wazi timu hizi huwezi kuwa na hisa za kuimiliki kama sio mtanzania.
Halafu hao makanjanja wanaoleta hii habari hawana source ya maana bali uzushi na ramli chonganishi.Na hata hawaulizwi.Inashangaza na kuogopesha tumekubali kuwa hivi.