Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Wazee wanasema Simba na Yanga hazijawahi kuwa imara kwa wakati mmoja
Mwendazake alikuwa simba kutokana na kassim na kijana wake paul aka bashite. Mama ni mwananchi haswa, huku genge la jk ni Yanga kindakindaki, kwahiyo simba ihesabu maumivu mpaka awamu hii iishe.
 
Mwendazake alikuwa simba kutokana na kassim na kijana wake paul aka bashite. Mama ni mwananchi haswa, huku genge la jk ni Yanga kindakindaki, kwahiyo simba ihesabu maumivu mpaka awamu hii iishe.
Mkuu Samia na watu wake wanacheza namba ngapi?
 
Team za tanzania ususani hiz mbili haziwezi kwenda sababu wanapenda kumtegemea mtu mmoja, leo mo anasusa watu wanaanza kutapa tapa kama team ingekua inajitegemea kama team wala watu wasinge msujudia mwamedi...tz bado sana
 
Ni akili zetu tu watanzania mbona hivi vilabu vikiwaga vimepoa mfano (ligi zikiisha au kama kipindi mpira umesimama) tunatafutaga mautumbo mengine ya kujadili?
 
Thread Closed.
 
Huwajui wahindi wewe.Waulize Singida walivyoachwa Solemba
Singida hakuwa na fan base. Simba ina mtaji mkubwa wa Mashabiki. Ndio maana ni kichekesho kikubwa Simba au Yanga kuwa masikini. Ni aibu. Kwani karibia nchi nzima ni Simba au Yanga.
 
Sasa tofauti na Simba Na Yanga ni nini!? Leo akiondoka GSM, nitajie option watakayobaki nayo Yanga kuendesha timu.
Wakati yupo Manji ulimsikia GSM? Wawekezeji wapo mkuu.
 
Unataka kusema Msimbazi hakuna shida kiutawala?
Tatizo ni lipi kiuongozi. Tujulishe tusiojua na ulete source ya kuaminika.Au unataka tuamini tu udaku.Sababu za Barbara kujiuzulu kazianisha .Au kujiuzulu mtu na kutafuta changamoto zingine ni tatizo?Alipojiuzulu CEO wa kwanza kulikuwa na tatizo la uongozi au alipata dili lingine Yanga?
 
Tena hata hapo umeongeza sifa wengi wa wanaoongea sana hata kadi hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…