Jinga wakubwa mashabiki zaidi ya 10M mkitoa buku buku kila mwezi ni shs ngapi mpaka mmtegemee mwanaume mmoja? 10,000,000,000 mnashindwa nini?Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!
Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?
Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.
Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.
Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.
Simba Nguvu moja.
Ni roho za kimasikini tupuAkili maandazi ...hovyo kabisa Tanzania.
Unawezaje kumlaumu Dewj.. leo hii..
Nani amewahi kuwa serious na club zaidi ya Mo Dewj..?
Huyu jamaa simba ikifungwa anaumwa...
Halafu mla mihogo anajifanya kuongea ongea , kulaumu laumu.
Yaani utopolo wanatamani itokee then washangilie
Nakubaliana na wewe, kuna kitu kinatafutwa hapa. Tangu katikati ya msimu iligundulika usajili haukuwa mzuri timu ina mapungufu mengi. Dirisha dogo linakaribia CEO anajiuzulu siku 5 tu kabla ya dirisha kufunguliwa na Mwekezaji anatangaza kuuza hisa zake. Hapana, ni hela zake lakini kuna wakati sahihi wa kufanya haya na si sasa.Simba Sc ni taasisi kubwa sidhani kama itashindikana kupatikana mwekezaji mwingine atakayeipush simba sc, Mo anasusa ili tukamsujudie na hapo ndipo anapotupiga yule janja janja.
Walimpiga pesa walimdanganya kuhusu mishahara ya wachezaji alipogundua akajitoaHivi Malkia wa Nyuki yuko wapi? Aue achukue timu tuachane na Mo chupli chupli!
Siku wanaonesha mfano wa check ya 20b mkashangilia, tukawaambia ombeni bank transfer/bank slip kama kweli hela zimeingia, mkaona tunawachulia, kulia kupokezana!Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!
Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?
Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.
Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.
Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.
Simba Nguvu moja.
Anauza hisa alizinunua lini?Nakubaliana na wewe, kuna kitu kinatafutwa hapa. Tangu katikati ya msimu iligundulika usajili haukuwa mzuri timu ina mapungufu mengi. Dirisha dogo linakaribia CEO anajiuzulu siku 5 tu kabla ya dirisha kufunguliwa na Mwekezaji anatangaza kuuza hisa zake. Hapana, ni hela zake lakini kuna wakati sahihi wa kufanya haya na si sasa.
Kwani wewe si Yanga?! Hata mleta mada.Mwamedi turudishie timu yetu.
Habari ni za uongo za kuokoteza mitandaoni habari za ukweli zipo kwenye App ya Simba hata hao Wachambuzi wanawalisha matano pori mashabiki.Nakubaliana na wewe, kuna kitu kinatafutwa hapa. Tangu katikati ya msimu iligundulika usajili haukuwa mzuri timu ina mapungufu mengi. Dirisha dogo linakaribia CEO anajiuzulu siku 5 tu kabla ya dirisha kufunguliwa na Mwekezaji anatangaza kuuza hisa zake. Hapana, ni hela zake lakini kuna wakati sahihi wa kufanya haya na si sasa.
Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!
Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?
Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.
Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.
Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.
Simba Nguvu moja.
Timu haiwezi potea itapitia kipindi kigumu tu.Mkuu huu siyo mda wa kuchekana.Wezako tunaumia kuona timu inaenda kupotea
Siku hizi kila mtu anajidai yupo karibu na vyanzo vya wakubwaMuda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.