Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Unataka kusema Msimbazi hakuna shida kiutawala?
 
Wao Simba walimpa nini Mo, Simba Ina assets zipi, value ya brand ni sh ngapi, msileye ujinga Simba na Yanga hamna kitu ni timu za kipumbavu sana. Hizo timu ni za wazaramo, waluguru, wakwere, wandegereko basi wengine wote tunajipendekeza
Acha upumbavu kutaja makabila ya watu. Usirudie tena kijana.
 
Binafsi mm ni Yanga damu damu lkn kuna faida gani endapo mtani atakua hoi? Nani ataleta ushindani?
Nawaombea kwa Mungu msimbazi hali iwe shwari na waimarike. Uimara wa Simba ni uimara kwa yanga. Yanga bila simba hakuna kitu na vice-versa.
Wewe ni kolo
 
Watani poleni Mwamedi ni jirani yangu huku, haya niambieni nikawaombee nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kupitisha bakuli, kupokezana...
Thiz iz Thimbaaaa
Guvu moya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wana thiiiiiiimbaaa
 
Unataka kusema Msimbazi hakuna shida kiutawala?
Ki utawala shida ipo ishu je lini Mo kasema anauza hisa au wapi alikaa na kutamka ndio tunataka kujua bosi wa Chelsea alitamka nao Liverpool ivyo ivyo kila mtu akajua je upande wa Mo au ndio vi blog feki vipo upande wa kutetea kununua mchina ata hii ya mchina nayo anaijua Nani wapi mchina alitamka?
 
Reactions: Tui
Bora aondoke nazo maana ziapigwa tuu
 
Binafsi mm ni Yanga damu damu lkn kuna faida gani endapo mtani atakua hoi? Nani ataleta ushindani?
Nawaombea kwa Mungu msimbazi hali iwe shwari na waimarike. Uimara wa Simba ni uimara kwa yanga. Yanga bila simba hakuna kitu na vice-versa.
Upinzani ataleta Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…