Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga utakuisha lini?Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters??
Unataka somo la history liwe la ujinga wa Magufuli? Kwanza ulikuwa wapi?Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters??
Usipomjadili Magufuli na Nyerere unataraji mtanzania gani ataingia kwenye historia?Unataka somo la history liwe la ujinga wa Magufuli? Kwanza ulikuwa wapi?
Mbina tamaduni zetu nzuri hazifundishwi huko ulaya?Historia ya safari ya Carl Peters na wenzake inakuonyesha namna gani wakoloni wetu walianza kuifahamu nchi yetu hadi wakavutiwa kuitawala. Bila safari hizo wasingeifahamu na wala wasingeshawishika kuitawala.
Aidha safari zao ziliwezesha wao kufahamu tamaduni zetu, makabila yetu, watawala wetu (machifu na wafalme) uwezo wa makabila yetu kijeshi na hivyo wakaweza kujiandaa kikabiliana nayo. Pia waliweza kuweka mikataba mbalimbali na watawala wetu ambayo ilipelekea kuanza kutawaliwa bila mapigano.
Ni mengi ya kujifunza tafuta vitabu usome!
Sio wote, ila muhimu ukiwa ungali mdogo kufahamu A, B, C, D..... za Historia na Geographia.Kwamba kuna mtu anaenda Dubai baada ya kufunzwa historia?
Historia ya Watanzania wenzako ni muhimu ndio maana walami wanaitunza kuitunza na kuieneza historia ya watu wao.Sio wote, ila muhimu ukiwa ungali mdogo kufahamu A, B, C, D..... za Historia na Geographia.
Historia inasaidia sana hasa kujitambua na kutimiza malengo husika.