Mitaala inayoelezea safari za Carl Peters inasaidiaje kijana wa Kitanzania?

Mitaala inayoelezea safari za Carl Peters inasaidiaje kijana wa Kitanzania?

Tanzania sio kijiji, ni sehemu ya Dunia hivyo kufahamu nini wenzetu wa Duniani walifanya sio dhambi.
Hivi ulikwisha wahi kujiuliza kwanini tunasoma masomo ya dini yenye historia ya maisha ya watu wasio Watanzania?
Ukienda UK wanasoma historia ya watanzania?
 
Ukienda UK wanasoma historia ya watanzania?
Jibu swali langu kwanza.

Hapo vipi ✅👇.

A Modern History of Tanganyika​

Search within full text

A Modern History of Tanganyika

Mbina tamaduni zetu nzuri hazifundishwi huko ulaya?
Kwani hakuna kina carl peters wetu waliotoka eneo moja kwenda jingine?

Hoja:Inakusaidia nini kujua hizo movement za carl peters na vasco dagama?
Kwani babu yako amewahi kufika Ulaya kwa lengo la kutafuta koloni?

Jiongeze na si vizuri kuweka ujinga wako hadharani!
 
Kwani babu yako amewahi kufika Ulaya kwa lengo la kutafuta koloni?

Jiongeze na si vizuri kuweka ujinga wako hadharani!
Alitoka kwa miguu mkoa kwa mkoa ..hajulikani kwa kuwa mfumo wetu haujaundwa kumtambua
 
umesoma kilichoandikwa humo?
Kilichoandikwa ni ubovu na ubaya wa weusi tu.read betweext the line
Kwa hivyo ulitaka wakUpambe?
Tena bora umejua wanavyokudharau ili ujifunze kuishi nao na kuhakikisha ya kale hayajirudii.
History ni base ya humankind illusions and part of propaganda
Ninyi mbona mnawaita mabeberu,mabwanyenye,wanyonyaji and so forth?
Naomba nijibu swali langu?
Sipendi ujanja ujanja wa majibu ya siasa.
Narudia "Kwanini unasoma history ya kwenye vitabu vya Dini /maisha ya zamani ya watu wengine? " Na utamaduni wako unauhitaji sasa wa kutambua wewe ni nani unauona ni wa kishenzi /kichawi /mambo ya mizimu.?
 
Kwa hivyo ulitaka wakUpambe?
Tena bora umejua wanavyokudharau ili ujifunze kuishi nao na kuhakikisha ya kale hayajirudii.
History ni base ya humankind illusions and part of propaganda
Ninyi mbona mnawaita mabeberu,mabwanyenye,wanyonyaji and so forth?
Naomba nijibu swali langu?
Sipendi ujanja ujanja wa majibu ya siasa.
Narudia "Kwanini unasoma history ya iliyo kwenye vitabu vya Dini /maisha ya zamani ya watu wengine? "
nabi kakwambia naihusudu historia hiyo iliyoandikwa na walami?kupitia historia hiyo kuna picha inajengeka vichwani mwetu kuwa Yesu alikuwa mweupe ingawa hakuna fact iliyowekwa kuhusu hilo.
malaika wanaonekana ni weupe ingawa hakuna fact iliyiwekwa kuhusu hilo.
 
Ebu jisomee kwanza Mkuu.
Generally speaking, we can distinguish three factors influencing the content and form of history curricula: politics and society; pedagogical and psychological considerations; and academic history itself. […] However sensible it seems to take pedagogical and psychological considerations and insights concerning the developing child into account, they cannot be decisive when it comes to the formulation of general aims of history teaching. The course history teaching should take can only be directed by politics and society, which will have to decide whether or not to respect the standards of scholarly history (Wilschut 2010, p. 717).
 
Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters??
Is this the history we praise and teach?
Unataka wasome historia ya huyo dikteta uchwara kwenye avatar yako mkuu?
 
Naomba nieleweke vyema haswa.
lilikuwa ni agizo lenye vision kutoka kwa mwamba John Pombe Magufuli kuwa ni vyema mitaala ya elimu yetu ikajikita kwenye certain purpose mfano unapowafundisha watoto historia inatupasa tuwafundishe historia ya ubora wetu na ubora wa wanadunia wenye mrengo wetu na sio kufundisha mapokeo ya kimagharibi.
This is what we call vision...and we should respect it.
Katika karne hii si sawa kufundisha historia inayorembesha heroes wa kimagharibi...its not the time to indoctrinate The future young minimi of Tanzania with barberick and bastards from umeurope who exploited us.
It is high time to ecpress and embrace the naturality of the great Tanzania indegenious who made wonders in harnessing the nature.
We proud Tanzanians have so many tales to tell the world.

No history subject in our curricula explains the betterment of Masai,Gogo,pogoro and you name them!

No one Tanzanian need to become Kinjekitile or Isike.
We need the history subjects refecting the heroism of Nyerere 'Magufuli,Mangi Meli ,Isike,Mazengo,Kimweri,Pandu ,Sarakyka ,Mabula et al.
 
Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters??
Is this the history we praise and teach?
histori ya kitanzania kuna mahala kuna itu ya muhimu sana mzee mnene lazima wafundishwe mahala nchi iliokua na mababu zetu walivoishi na utamaduni na mamabo ya livokua huko nyuma lakini pia kuna pia kuna sehemu pia inakua haina maana kwa mtot wa kitanzania
 
Back
Top Bottom