Ukienda UK wanasoma historia ya watanzania?Tanzania sio kijiji, ni sehemu ya Dunia hivyo kufahamu nini wenzetu wa Duniani walifanya sio dhambi.
Hivi ulikwisha wahi kujiuliza kwanini tunasoma masomo ya dini yenye historia ya maisha ya watu wasio Watanzania?
Jibu swali langu kwanza.Ukienda UK wanasoma historia ya watanzania?
umesoma kilichoandikwa humo?Jibu swali langu kwanza.
Hapo vipi ✅👇.
A Modern History of Tanganyika
Search within full text
- Cited by 415
- John Iliffe
- Publisher: Cambridge University Press
- Online publication date: May 2011
- Print publication year: 1979
- Online ISBN: 9780511584114
- DOI: A Modern History of Tanganyika
Kwani babu yako amewahi kufika Ulaya kwa lengo la kutafuta koloni?Mbina tamaduni zetu nzuri hazifundishwi huko ulaya?
Kwani hakuna kina carl peters wetu waliotoka eneo moja kwenda jingine?
Hoja:Inakusaidia nini kujua hizo movement za carl peters na vasco dagama?
😀😀😀😀Napendekeza story za safari za carlpeters ziwe replaced na safari za JK ulaya & marekani kusaka pesa za kuwalisha wadanganyika
Kwa hivyo ulitaka wakUpambe?umesoma kilichoandikwa humo?
Kilichoandikwa ni ubovu na ubaya wa weusi tu.read betweext the line
Pumbavu!Alitoka kwa miguu mkoa kwa mkoa ..hajulikani kwa kuwa mfumo wetu haujaundwa kumtambua
nabi kakwambia naihusudu historia hiyo iliyoandikwa na walami?kupitia historia hiyo kuna picha inajengeka vichwani mwetu kuwa Yesu alikuwa mweupe ingawa hakuna fact iliyowekwa kuhusu hilo.Kwa hivyo ulitaka wakUpambe?
Tena bora umejua wanavyokudharau ili ujifunze kuishi nao na kuhakikisha ya kale hayajirudii.
History ni base ya humankind illusions and part of propaganda
Ninyi mbona mnawaita mabeberu,mabwanyenye,wanyonyaji and so forth?
Naomba nijibu swali langu?
Sipendi ujanja ujanja wa majibu ya siasa.
Narudia "Kwanini unasoma history ya iliyo kwenye vitabu vya Dini /maisha ya zamani ya watu wengine? "
Ebu jisomee kwanza Mkuu.nabi kakwambia naihusudu historia hiyo iliyoandikwa na walami?kupitia historia hiyo kuna picha inajengeka vichwani mwetu kuwa Yesu alikuwa mweupe ingawa hakuna fact iliyowekwa kuhusu hilo.
malaika wanaonekana ni weupe ingawa hakuna fact iliyiwekwa kuhusu hilo.
Unataka wasome historia ya huyo dikteta uchwara kwenye avatar yako mkuu?Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters??
Is this the history we praise and teach?
histori ya kitanzania kuna mahala kuna itu ya muhimu sana mzee mnene lazima wafundishwe mahala nchi iliokua na mababu zetu walivoishi na utamaduni na mamabo ya livokua huko nyuma lakini pia kuna pia kuna sehemu pia inakua haina maana kwa mtot wa kitanzaniaHivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters??
Is this the history we praise and teach?