Rasmi alikuwa anaenda kuigeuza Tanzania kuwa North Korea ya Afrika. Nina hakika angetoka madarakani baada ya damu nyingi kumwagika. Tumshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.Ulikuwa mpango mkakakati wa Mwendazake kuigeuza nchi ya Kidemokrasia kuwa kama familia yake na watu wote wamuabudu yeye.
Asante Mungu hukuruhusu hilo.
Shetani lazima aoingelewe.Muache mzee Jpm apumzike...tuongelee yanayotuhusu sisi tuliopo.
Binafsi sina cha kukumbukwa kwa huyo mwana Chato zaidi ya maumivu na mateso! Bora hata nimkumbuke aliyejenga mashule ya sekondari nchi nzima! Aliyejenga lile li Udom na kuwapa ahueni ya maisha raia wake! Viva JKJamani inatosha. Hiyo legacy ya JPM mnayojaribu kuiua mpaka kwa propaganda haiwezekani. Nasema tena haiwezekani. Kila mtu ana macho na ameona kilichotendeka katika awamu zote. Mnatumia nguvu kubwa sana.
Huyu mtu ameshakufa mwacheni apumzike kwa amani. Kumtoa kwenye mioyo ya watanzania narudia tena haiwezekani.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Yanayotuhusu ni yapi?.swala la elimu wewe halikuhusu?.Huwezi kuongea jambo jipya wakati kuna la zamani lililoharibika.Muache mzee Jpm apumzike...tuongelee yanayotuhusu sisi tuliopo.
Katiba bila ya viongozi wanayoiheshimu ni kazi bure!Missile of the Nation
Dawa katiba mpya,mengine mbwembwe,wanaojaribu kulipotosha taifa,kwa kisingizio cha uzalendo,ni wahalifu kama wahalifu wengine.
Acha kuishi kwa historia wakati una uwezo wakutengeneza cha kwako kilicho bora.Watu wote tukiwa na akili kama zako unadhani mabadiliko yatakujaje?.Toka kwenye huo usingizi wakujitakia.Na Je, akizuiwa kuingia na akalazimisha kuingia mzima mtafanyaje ?
Africa tunajijua tulivyo mabingwa wa kukiuka kanuni na taratibu ndogo tulizojiwekea.
Katiba ngapi za Africa zina ukomo wa madarak, zinaheshimika ?
Kuna kubwa kuliko hilo ?
Kama hujui yanayokuhusu hilo ni tatizo lako binafsi.Tuambie wanajukwaa yapi yanakuhusu na yapi hayakuhusu,ili nasi tujue yanayotuhusu nasi.
Mungu huyu huyu muumba Mbingu na Dunia.MUNGU HUYU HUYU AMBAYE ALIMTUMA MWANAE KIPENZI AJE ATUOKOE KUTOKA MADHAM
BINI?
Mungu huyo huyo ndiyoMUNGU HUYU HUYU AMBAYE ALIMTUMA MWANAE KIPENZI AJE ATUOKOE KUTOKA MADHAMBINI?
Hi character assassination unayoifanya dhidi ya marehemu ambaye hawezi kukujibu si jambo jema.Uizia Wizara ya Ujenzi alikokuwa, he was a forgerer all along.
Ndio maana wale walioshutumu jinsi ilivyopatikana PhD yake (tena somo gumu la Kemia) aliyosoma miaka miwili walipotezwa.
Kimsingi huyu jamaa hakuenda moja kwa moja Chuo Kikuu, alienda ualimu .
Maana yake unaelewa kama ni msomi.
Nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru Mungu kwa kuniondolea uchafu katika Taifa langu.Ulikuwa mpango mkakakati wa Mwendazake kuigeuza nchi ya Kidemokrasia kuwa kama familia yake na watu wote wamuabudu yeye.
Asante Mungu hukuruhusu hilo.
Hata mimi ningependa kuona yaliyomo.Hakijavuja hata kitabu kimoja kiwe sample huku mtaani au smartphone ya chanzo haina scanner
Apumzike nini? hatakiwi kupumzika!Muache mzee Jpm apumzike...tuongelee yanayotuhusu sisi tuliopo.