Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Rasmi alikuwa anaenda kuigeuza Tanzania kuwa North Korea ya Afrika. Nina hakika angetoka madarakani baada ya damu nyingi kumwagika. Tumshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.Ulikuwa mpango mkakakati wa Mwendazake kuigeuza nchi ya Kidemokrasia kuwa kama familia yake na watu wote wamuabudu yeye.
Asante Mungu hukuruhusu hilo.